inahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania kuwapambania inahitaji moyo sana

    Issue ya Polepole imeonesha wazi kuwa kumpambania mbongo inahitaji moyo. Nilitegemea watu wawe barabarani wakishinikiza kuachiwa Polepole.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwatetea Watanzania inahitaji kidogo uwe na tatizo la Kisaikolojia

    Hamjambo! Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu. Nitakupa mifano kadhaa; 1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kalenga inahitaji mtu sahihi wa kutumwa ambaye ni mimi naombeni kura zenu zote – Grace Tendega

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija. Akizungumza...
  6. JamiiForums Tanzania Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  8. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

    Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
  9. JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  11. W

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji kufanya reform

    👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari na mwamko mpya wa Chama na kuleta mvuto kwa wanachama wake pamoja na watu wengine wasio wanachama wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  13. JamiiForums Tanzania Je Zanzibar Inahitaji Truth & Reconciliation Comm。Kuponya Makovu ya Mapinduzi, ili Upinzani Ukishinda,Upewe?。Sis & Bro,Can You Please Do The Needfu?。

    Wanabodi, Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。 Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  15. JamiiForums Tanzania Mzee wa Jambia: Yanga inahitaji maombi zaidi kwasasa

    Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa. Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bunda: Hali ya Barabara inayokwenda TBC - Mnara wa Vodacom si nzuri, inahitaji matengenezo ya haraka sana

    Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Dunia inahitaji "Meli ya Amani"

    Meli ya hospitali ya Jeshi la maji la China, "Peace Ark" inayotekeleza jukumu la “Operesheni ya Masikilizano mwaka 2024”, hivi karibuni ilihitimisha ziara yake ya urafiki na huduma za matibabu nchini Djibouti, na kuelekea kituo chake kijacho nchini Sri Lanka. Hii inamaanisha kumalizika kwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Dakika ya 24 tayari Bravos anaongoza mabao 2 0, Simba ihakikishe inashinda ugenini na haipotezi mchezo kama inahitaji kuvuka group stage

    Ngoma ngumu ; waangola wako vizuri sana kuliko mategemeo yetu, wako kwao na wanajua kutumiia uwanja wa kwao, hadi sasa washamtandika Constantine mabao 2 0 na wanashambulia kama nyuki, Bravos akimfunga Simba na Sfxien ameshafuzu tayari, na kwa namna anavyocheza uwezo huo anao, mechi moja tu...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA inahitaji uongozi mpya sio uenyekiti pekee.

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…