inaanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika huenda usifanyike, kesi ya Mbatia juu ya ukiukwaji wa Katiba katika kupatikana Spika mpya inaanza kusikilizwa

    Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
  2. JamiiForums Tanzania Mech ya Simba Vs Azam inaanza saa ngap ???

    Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inaanza kukaa mbali na huyu ndugu yangu, je nina makosa mimi kutopokea simu zake?

    Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania DV-2023 program ( bahati nasibu ya kuhamia U.S.A.) inaanza rasmi kuchezwa tarehe 6/10/2021

    TAARIFA MPYA DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021, MWISHO NI TAREHE 9/11/2021. JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA. HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI. KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE. ANGALIZO: IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA...
  6. JamiiForums Tanzania Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

    Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
  7. JamiiForums Tanzania Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Na Elia Wilinasi Sikanyika Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na...
  8. JamiiForums Tanzania Bei mpya ya Bia inaanza lini rasmi?

    Wakuu tupeane mrejesho! Bunge letu tukufu lilipunguza bei ya kinywaji pendwa kwa Watanzania, sasa mpaka sasa hivi mwaka wa fedha mpya hatujapata bei mpya -- kulikoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…