imf

The International Monetary Fund (IMF) is an international financial institution, headquartered in Washington, D.C., consisting of 190 countries working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world while periodically depending on the World Bank for its resources. Formed in 1944, started in 27 November 1945, at the Bretton Woods Conference primarily by the ideas of Harry Dexter White and John Maynard Keynes, it came into formal existence in 1945 with 29 member countries and the goal of reconstructing the international monetary system. It now plays a central role in the management of balance of payments difficulties and international financial crises. Countries contribute funds to a pool through a quota system from which countries experiencing balance of payments problems can borrow money. As of 2016, the fund had XDR 477 billion (about US$667 billion).Through the fund and other activities such as the gathering of statistics and analysis, surveillance of its members' economies, and the demand for particular policies, the IMF works to improve the economies of its member countries. The organization's objectives stated in the Articles of Agreement are: to promote international monetary co-operation, international trade, high employment, exchange-rate stability, sustainable economic growth, and making resources available to member countries in financial difficulty. IMF funds come from two major sources: quotas and loans. Quotas, which are pooled funds of member nations, generate most IMF funds. The size of a member's quota depends on its economic and financial importance in the world. Nations with greater economic significance have larger quotas. The quotas are increased periodically as a means of boosting the IMF's resources in the form of special drawing rights.The current Managing Director (MD) and Chairwoman of the IMF is Bulgarian economist Kristalina Georgieva, who has held the post since October 1, 2019. Gita Gopinath was appointed as Chief Economist of IMF from 1 October 2018. Prior to her appointment at the IMF, Gopinath served as the economic adviser to the Chief Minister of Kerala, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini IMF haishinikizi Tanzania kupunguza gharama za kuendesha Serikali kama inavyofanya nchi nyingine?

    IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Afrika zinazokopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao. Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi ikiwemo Kenya, ila cha ajabu Tanzania sijawai liona hili na badala yake Serikali ndio kwanza...
  2. IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

    Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi. Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
  3. The path to economic ruin? IMF advises Tanzania to reduce foreign exchange interventions

    Tanzania's central bank has made a significant move by agreeing to allow more exchange rate flexibility and reduce its foreign exchange interventions under a new and crucial agreement with the International Monetary Fund (IMF). The IMF has applauded the proactive step taken by the Bank of...
  4. Mnavyosema kuwa Mama Samia kakopa sana, oneni hii ripoti ya IMF

    Mnavyosema mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na IMF. Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa...
  5. Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  6. Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  7. Kenya yakabiliwa na changamoto ya madeni huku ukomo wa muda wa kulipa deni la bilioni 25 za IMF ukiwadia

    Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya. "Income kutoka Kenya inatabiriwa...
  8. Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  9. IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  10. IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita. Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi. ======= IMF relieves EA’s indebted...
  11. IMF Approves US$150.5 million Disbursement for the United Republic of Tanzania

    IMF Executive Board Completes Second Review Under the Extended Credit Facility Arrangement for the United Republic of Tanzania and Approves US$150.5 million Disbursement https://www.jamiiforums.com/attachments/1tzaea2023003-pdf.2847103/
  12. IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo...
  13. L

    Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  14. Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Lafikia Makubaliano ya Ngazi ya Wafanyakazi na Serikali Kuhusu Mapitio ya Pili ya Mpango wa Ukopeshaji wa ECF

    Washington, DC - Novemba 3, 2023: Wafanyakazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wakiongozwa na Charalambos Tsangarides, ambaye ni mkuu wa ujumbe wa IMF kwa Tanzania, walifanya mikutano Dodoma na Dar es Salaam kuanzia Oktoba 23 hadi Novemba 3, 2023, ili kujadili maendeleo ya mageuzi na...
  15. P

    Tanzania iliweza kulipa deni lake lote la IMF ifikapo tarehe 31 Desemba 2020, sasa tunadaiwa TZS 2 trilioni (USD 822 milioni) na IMF - kwanini?

    Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri kufikia tarehe 31 Desemba 2020, ambao wengi wenu mnajua ni mwaka wa Covid-19. Unajua mkopo wetu...
  16. IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #KristalinaGeorgieva ameunga mkono wito wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaozitaka nchi za Afrika kuacha utaratibu wa kufungamanisha Mali Asili za Nchi kipindi zinapoingia mikataba ya Mikopo. Kwa upande wake Rais wa #AfDB, Dkt...
  17. Tanzania yapata mkopo wa nyongeza Dola Mil 153 kutoka shirika la fedha duniani (IMF)

    Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu. Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani . Sasa...
  18. Tanzania kupata mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 353.3 kutoka IMF ili kusaidia Uchumi

    Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji. Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
  19. Ripoti IMF: Matarajio ya Ukuaji Uchumi yabadilika, kutakuwa na Ongezeko la kasi

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei. Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
  20. Ripoti IMF: Mwaka 2023 utakuwa mgumu zaidi Kiuchumi kuliko 2022

    Kwa sehemu kubwa ya uchumi wa dunia, 2023 utakuwa mwaka mgumu kwa kiuchumi. Hii inatokana na vichocheo vikuu vya ukuaji wa uchumi kimataifa yaani Marekani, Ulaya na China, zinakabiliwa na kudhoofu amesema mkuu wa shirika la kimataifa la fedha (IMF) Jumapili. Mwaka mpya utakuwa mgumu zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…