imekufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM inatembea huku ikiwa imekufa

    Kwenye kiingereza kuna msemo maarufu wa "walking dead" ukimaanisha mtu anayetembea lakini anatenda matendo mafu. Msemo huo unaashiria kuwa Kuna watu huwa wanaishi lakini wenyewe hawana hisia ama hutenda kama vile mazingira yanayowazunguka hayawaathiri. CCM kama chama cha siasa, ni kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Operation freedom project ni moja wapo ya operation iliyowahi kufeli duniani mapema less than 48hrs imekufa..

    Hii ni moja ya operation iliyowahi kufeli chini ya masaa 48 Ilianzishwa na rais Trump na kuipublish kwenye mtandao wa jamii lakini kama kawaida yake chini ya masaa 48 kaacha ndala mwenyewe Hormuz.
  3. JamiiForums Tanzania Future ya computer science au ICT ni kama imekufa

    Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science. Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website...
  4. JamiiForums Tanzania Mgahawa wangu mambo yalikuwa mazuri, ghafla imedoda, nifanye nini biashara irejee kwenye mstari?

    Jamani Wana JamiiForums nilitengeneza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu, chapati, ugali, na wali. Nikawa nauza vizuri tu siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilichobaki, yaani Saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivyohivyo. Ila siku zilivyoenda kama...
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano ya MO29 yaliipandisha Tanzania kwenye Rank za juu ya kidunia. Na sasa Ile dhana ya watanzania ni mandondocha imekufa. Watanzania sasa

    Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  7. JamiiForums Tanzania 2030-2040 CCM itakuwa imekufa kabisa

    Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

    Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda. Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tujue kama D9 ndo imekufa au bado ipo

    Kufuatia hotuba ya rais. Sijaona TAARIFA KWA UMMA ILIYOTOLEWA NA GEN Z KUHUSIANA NA HOTUBA hii Nini muelekeo wa D9? UPO AU HAUPO NDO TUMEUFYATA MKIA.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms, No Election imekufa rasmi leo tarehe12 August 2025 baada ya harambee ya CCM

    Wanaukumbi. No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM. Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia. Rais Samia anachangiwa na kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  14. JamiiForums Tanzania Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  15. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mbweni: 900 Sqm Prime Plot Ushuani, Bei Imekufa - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

    MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
  17. JamiiForums Tanzania Je kwa Sasa Tanzania ni nchi iliyokufa?! A failed state?

    Nchi inadaiwa trion 99 Nchi inalipa Deni kwa bilion 700 kila mwezi Nchi kwa Sasa haina mradi wowote unao-endelea unaotoa ajira kwa watanzania angalau 10000 kwa pamoja!! Miradi ya TARURA yote imelala wakandarasi wameikimbia Imagine barabara ya 2km inajengwa Sasa ni mwaka mfano hii ya msongola...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni kweli CHADEMA imekufa?

    JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA? Habari ya jioni wadau Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto. Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab, kwasasa naona kama imekufa

    Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab. Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa hata. Bring back taarab.👌👌
  20. JamiiForums Tanzania ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…