imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndoto kama hii imekaaje?

    Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
  2. Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  3. Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  4. V

    Wanaodai hawatumii kilevi chochote ila Wine wanakunywa imekaaje hii?

    Tujadili mada ya hapo juu, binafsi sielewi
  5. Hii imekaaje; Serikali inafungia access ya mtandao nchini lakini Serikali yenyewe inaendelea kuutumia?

    Hello, wanaJF; Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo. Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono...
  6. Hii imekaaje wakuu?

    Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante...
  7. Watoto ninaowafundisha hakuna alie na ndoto ya kua mwalimu hi imekaaje?

    Kwamba career yangu inadharauliwa adi na watoto? Nimemaindi sana
  8. A

    Hii ratiba imekaaje, vipi nyie mmeielewa?

    Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match) Kesho yake Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup) Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania Siku nne baadae, 15/6/2025 Yanga vs Simba 18/6/2025 kenGold vs Simba 22/6/2025 Simba vs Kagera NB: Ratiba ya Simba ndio...
  9. Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

    Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?
  10. K

    Kuna uwezekano wa kubadilisha hati ya nyumba ikasomeka majina manne yaani ya watoto na mama?

    Naomba kujua haswa kisheria zaidi Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu...
  11. R

    CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

    Salaam! Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga. Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
  12. Kwanini unapoenda kujisaidia haja ndogo unaangalia mbele lakini haja kubwa unaangalia ulikotoka?

    Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini). Sikutilia...
  13. A

    DOKEZO Wauza nyama Mtwara wanatumia spray za kuua wadudu mabuchani kuzuia nzi, mamlaka ziingilie kati

    Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia WADUDU kama rungu au hit wanapuliza. Kisha wanafunga. Nasema hili sababu nimeliona kwa macho yangu...
  14. Hii imekaaje wakuu..?

    Kuna siku nimeenda Bank NMB kutoa kahela kakawaida tu 1,200,000. So nilijaza Bank slip kisha kwenda kwa teller. Matokeo yake yule Bank teller akaniambia kuwa "Kwa kukusaidia kaka katolee ATM ili kupunguza makato" Sasa nikawa najiuliza kwenda kutoa hela kiasi hicho mikupuo mitatu yaan laki nne...
  15. J

    Hii kanuni ya 2.1 (h) ya maadili ya uchaguzi imekaaje.

    Wadau. Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya. Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea. Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona. Inasema; kuhakikisha kuwa...
  16. Biometric Voter system na wizi wa Kura? Imekaaje?

    Wapo wapinzani Wanadai kuna Kura za Mchongo. Lakini Tume HURU ya Uchaguzi inatumia mfumo Bora wa Biometric Voter System kuandikisha, kuhuisha taarifa za mpiga kura na kuhakiki taarifa hizo siku ya kupiga Kura haya yote yanafanyika ili kuhakikisha Kura zote ni halali. Tunawapongeza Tume Huru kwa...
  17. Hii imekaaje? nashindwa kujielewa aisee

    Kwema? Mimi nikinywa pombe nakuwa active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakuwa ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakuwa tuu na uwezo wa kawaida.
  18. Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  19. Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…