imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunchari

    Hii imekaaje, watu wameanza kuwazia uchaguzi 2030

    Habari wakuu Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia. Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda...
  2. Chibike

    Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  3. Stuxnet

    Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  4. B

    Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

    Habarini, Katika pita pita zangu mtandaoni insta, nimeona wanaume wengi wakijadiliana kuwa wameombwa na wachumba zao girlfriend allowance, shida yao kubwa ikiwa sio kuombwa hio girlfriend allowance, shida ni kuwa wadada wanaoomba hio girlfriend allowance, hawatoi walau ushauri wowote kwenye...
  5. N

    Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

    Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea. Ushawai kupotea kariakoo mdau ?
  6. R

    PostGE2025 Mdaiwa sugu anamkoromea aliyemkopesha trillion 108, imekaaje hii?

    Salaam! Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge . Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"? Uliona wapi hii? Pia soma > PostGE2025 - Samia to Western Countries: Who are You? They think they...
  7. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  8. Sambinyakwe kitololo

    GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
  9. Broadcast

    Hii imekaaje wataalamu??

    Kuna binti mmoja kazini kwangu ni rafiki yngu wa kawaida Ambaye tunashirikiana vitu baadhi Sasa sababu ya kuja hapa jamvini ni kuhusu tabia ya huyu binti. Mimi nimeoa yeye hajaolewa na hapa kazini kuna vijana kama watatu wameshamtongoza wajenge familia lakni yeye hatak na mbaya zaid aanakuja...
  10. Godoro la kioo

    Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo Sasa mi nashindwa kuelewa...
  11. Zanzibar-ASP

    GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  12. To yeye

    Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔 Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti? Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua...
  13. USSR

    Imani kali :malesia kuanza kufangua jela watu wasio swali ijumaa ,hii imekaaje wakuu?

    Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa . Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani USSR
  14. N

    Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  15. Billion Dolar

    Duh hii imekaaje

    Wakubwa mi nafanya kazi mahali flani serikalini, ni mkuu wa kitengo. Kwa kazi zangu nakutana na watu wengi sana kwa siku. Sasa alikuja binti kama 20yrs hivi ila ana mwonekano kama wa kikubwa sababu ya urefu na mwili. Ofcourse nilivutiwa nae sana. Sasaa nikamhudumia na baada ya huduma kuna...
  16. Candela

    Hii imekaaje wadau

    Kuna mtu aliniomba 1M May, nikamwambia ntaangalia uwezekano ila akiona kimya ajue imefeli. Leo August kanitumia ujumbe unasema, "NILIKUOMBA PESA ILA UMEKAA KIMYA INA MAANA HAINA UMUHIMU KWAKO". Shida sio kusema nimekaa kimya. Shida ni hapa kwenye umuhimu yaani we ukiwa na shida ukanikopa pesa...
  17. Expensive life

    Wataalamu wa mahusiano imekaaje hii?

    Wakuu si ulonzi huu? Mshana Jr, embu tia neno hapa.
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: 2025/26 2026/27 2027/28 📌 Iwapo timu itashinda...
  19. N

    Kwa wanaume; Hii imekaaje??

    Hivi wanaume wenye uzoefu Hii imekaaje Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje Kuna huyu Kijana Wakati wa maandalizi huwa ananilazimisha kabisa nishike dudu yake tena ananivuta mkono niiguse Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika...
  20. FYATU

    Ndoto kama hii imekaaje?

    Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
Back
Top Bottom