Tuwe na Imani Imara, Tusiogope
Imani Ni nini
Katika imani za kidini, imani imara isiyokuwa na mashaka ni kitu cha lazima. Imani hafifu ni sawa na kuwa vuguvugu. Yaani, siyo baridi wala siyo moto. Kama Yesu Kristo alivyosema, katika Ufunnuo 3:15-16: "Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala...