Tazama kwa umakini hio picha hapo juu
Bila shaka umewahi kukutana na logo hii kwenye nguo, kofia na hata mabegi. Hii kampuni inaitwa "Kappa", ni kampuni ya mavazi iliyoanzishwa 1967 huko nchini Italia.
Kama nilivyosema hapo juu, kampuni hii inajihusisha na swala zima la mavazi; kuanzia track...