Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo binafsi sikukubaliana nalo.Nilipewa hela ya tuition nikanunua simu kiswaswadu nikawa natumia kwa...
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema.
Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi.
Katika Hali hii ya ushiriki wake...
Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa.
Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa.
Pia Katibu Mkuu kiongozi...
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..
Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo.
Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.
Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.
Sasa mtu...
Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu.
Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi...
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?
Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
Kwenye Nyumba za kupanga tunateseka sana sisi mafukara, siku MOJA nipo single nimelala chumba Cha jirani kitanda kinasikika mechi on afu mdada analia makusudi, huwezi amini mnara wangu ukawa nyuzi tisini, najipiteza wapi nikaona si vibaya nende bafuni!!!
Wewe ulifanyaje?
Habari wanaJukwaa ..
Nahitaji tupate uzoefu kutoka kwa wale waliotutangulia kwenye hili suala la Engagement.
Wewe na mchumba wako ni mambo gani mlizingatia katika hiyo siku kwa kuanzia na mavazi muonekano n.k kwa kuzingatia na umuhimu wa hiyo siku husika?
Ni mambo gani unahisi ulikosea...
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon nyingi zimefungwa sasa na nilikuwa nataka ninyoe siku hiyohiyo coz kesho ake nilikuwa na safariii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.