igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba. Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP amedharau mahakama kwa kukosa kufika mbele yake mara 7 kueleza kuhusu maisha ya Wakenya watatu wanaodaiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Masauni, waziri wa mambo ya ndani na IGP tunaomba mjiuzulu ili kulinda heshima zenu

    Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana. Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa IGP kujiuzulu ama Rais achukue hatua

    Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo. TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
  5. JamiiForums Tanzania IGP: Suala la Ajali za Barabarani na ukimya cha Jeshi la Polisi

    Ajali za barabarani ni tatizo linaloendelea kukua nchini Tanzania na linaathiri jamii kwa namna nyingi. Kila siku, tunasikia habari za ajali mbaya zinazosababisha vifo na majeruhi, hususan kwa watu wasio na hatia. Hali hii inasikitisha sana, na swali linalojitokeza ni: Kwanini jeshi la polisi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani imesema Mwananchi akibambikiwa Kesi akaripoti kwa kwa Mkuu wa Kituo, RPC, IGP au Wizarani

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesema Mwananchi yeyote anaweza kuwasilisha Malalamiko kwa Viongozi wa Jeshi la Polisi ngazi ya Vituo, Wilaya, Mikoa na Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) endapo watafanyiwa Vitendo vyote ambavyo ni kinyume na Maadili kutoka kwa Maafisa wa Jeshi hilo. Pia, Wizara imesema kuna...
  8. JamiiForums Tanzania IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

    Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana. Mbaya zaidi ni mita 30...
  9. JamiiForums Tanzania Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

    Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM. Pia soma: 'Afande'...
  10. M

    JamiiForums Tanzania IGP mtimue au mfute kazi RPC wa Dodoma ikikupendeza

    Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari. Taarifa yake imekosa weledi wa kitaalamu na imekaa Kama ya kumlinda mhusika mkuu wa tukio lile. Afande...
  11. JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

    Mmoja wa maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Polisi la Tanzania sasa yupo katika spotlight kwa madai ya kuongoza ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa upinzani. Kamishna wa Polisi Awadhi Juma Haji, ambaye anasimamia operesheni na mafunzo, amepata umaarufu wa umma kufuatia tuhuma za...
  12. JamiiForums Tanzania Is this the next IGP? Get to know Commissioner Awadhi Juma Haji, who oversees Police Operations

    One of the most senior officers in the Tanzania Police Force is now under scrutiny for alleged police brutality against opposition members. Commissioner of Police Awadhi Juma Haji, who oversees operations and training, has come into the public spotlight following accusations of police violence...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mantiki ya kumtoa IGP Simon Sirro na kumleta IGP Camillius Wambura ilikuwa ni ipi?

    Kwanini nauliza hivyo? 1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and, you mention them... 2. Muundo/utendaji wa jeshi la polisi n huo huo, tulitegemea kutakuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

    Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao. IGP Wambura...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

    Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu. Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake. ===== NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polisi mkuu wa Kenya (IGP) avunjika mikono akiwalipua waandamanaji.

    Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya. Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida? Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa IGP: Mkoa wa Geita uwe Kanda Maalum

    Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya. Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu. Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno. RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum. Hali...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania IGP anatakiwa asichaguliwe na Rais

    Ukiangalia ishu ya malisa na boniface utagundua tatizo sio polis bali kuna kigogo mmoja anawashurutisha wafanye haya wanauofanya kuwalaumu polisi ni kuwaonea. Mzizi wa tatizo ni igp kuteuliwa na Rais anakua anafuata matakwa ya Rais na sio tu anafuata matwaka ya Rais bali anafuata matakwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…