Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024).
Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo?
Changamoto...