icc

The ICC Champions Trophy is a One-Day International (ODI) cricket tournament organised by the International Cricket Council. The 2013 tournament was intended to be the final edition of the Champions Trophy, but it was extended to 2017 due to its widespread popularity. In 2018, the ICC decided to replace the tournament with the World Twenty20 championship to be held every two years, and no Champions Trophy was contested in 2021. However, as part of the 2021 Future Tour Programme, the event was reinstated for the 2025 cycle onwards. In November 2021, the ICC confirmed the tournament would next take place in 2025 in Pakistan, with India hosting the tournament in 2029.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano yanaweza kudhibitiwa, wakasahau ICC wataenda wao na si Mange

    Yaani hawa watu kwa ujinga na ulevi wa madaraka, walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano anayoyahamasisha wanaweza kuyazima na kwamba serikali haiwezi kupinduliwa kwa njia ya maandamano. Hata hivyo, walisahau kuwa Mange hatasimama katika Mahakama ya ICC kujibu tuhuma yoyote ya mauji bali ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kama Samia ataitwa ICC si mtandao ndo utakuwa umeshinda na akibaki si ndo Watanganyika tutukuwa tumekwisha?

    Japo suala la Samia kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) bado halijafikia mwisho wake wala kujadiliwa. Je, Watanganyika tumejandaaje kama hii kitu itafanyika? Je, Samia ataponyoka au kuzama? Kuna uwezekano anajiandaa kwa lolote kiasi cha kupanga mijitu kama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Tundu Lissu kwa kusimama imara ndani ya kuta za gereza kama Mandela, waliokuweka ndani watalipwa kupitia ICC

    Habari ndio hio kwa kifupi. Wakati wao ukifika, watatia huruma sana. Akichomoka kipindi hiki yuko madarakani, anaweza kuja kukabidhiwa ICC na mrithi wake kwa mshangao wa wengi kutokana na mashinikizo ya kimataifa au sababu nyinginezo. Muda utathibitisha.
  4. JamiiForums Tanzania Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC. Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant. Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na...
  5. JamiiForums Tanzania The ICC issued summons calls the President of United Republic of Tanzania to appear before the court

    With the immediate effect the international Criminal Court ICC has issued the Summons for the president of united republic of Tanzania to appear before the court to explain the matters which she is aquatinted with regarding the catastrophic events occurred post 2025 Election. Tanzania...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Samia amepokea wito wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC?

    Wajuvi wa mambo wanasema ndio sababu kubwa ya kuwateua Dr. Mpango na Majaliwa na Kabudi kuwa washauri wake. Soma Pia: Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upande upi Unaokusikitisha zaidi wewe, kati ya ICC na Trump, et al.; au Hawa Wenzetu?

    Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi. Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni. Watu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania ICC mbona wanachelewa sana?

    Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.
  9. JamiiForums Tanzania Mwambieni hizo PR Stunt hazitamsaidia mwaka huu ni ama ICC au aliowauliza Who are You? Lazima wamshughulikie vilivyo

    Mwambieni achukue Majenerali wake wengi wote wapumbavu na machawa apige nao picha. Siku ya mwisho hayatamsaidia. Damu za ndugu zetu alizomwaga lazima zipate haki yake. Mwambieni hata ahonge Taasisi zote ziwe za nje ama za ndani zimpe tuzo hata ya Malaika wa mbinguni ila mwaka huu vyovyote vile...
  10. JamiiForums Tanzania TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Any News from ICC

    Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni kwamba, baada ya mauaji ya Oktoba 2025, hata muongee maneno mazuri kiasi gani, ICC ya The Hague inawasubiri!

    Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho. Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea ICC: Samia S. Hassan azidi kukabwa koo. THE SUN na THE TIMES magazeti ya Uingereza yaanika ushahidi mwingine mauaji ya 29/10 - 3/11/2025

    https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
  15. JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo ushahidi na kutangaza watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au wangetoa kauli kuwa ushahidi zaidi unahitajika...
  17. JamiiForums Tanzania Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

    Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania. Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada . Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua. Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
  18. JamiiForums Tanzania ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

    ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
  19. JamiiForums Tanzania Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomuweka ndani Lissu, wajue na wao ICC inawasubiri na hayo ndio yatakuwa malipo yao

    Tunajua wanafanya yote haya kumkomoa na pengine wakitarajia Lissu atawapugia magoti kitu ambacho hakipo. Kwa akili zao, chanzo cha maandamano ya Oktoba 29 ni CHADEMA hivyo wameongeza chuki kwa Lissu na CHADEMA wakati viburi vyao ndio chanzo Uzuri sio Lissu wala CHADEMA au wanaharakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…