ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinachofanya siasa miaka ya sasa bado kina fikra za miaka ya 70's zenye roho ya u Swahili Swahili mostly hata ibada hawafanyi

    Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya gen z kutohudhuria nyumba za ibada?

    Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada. Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Habari za Ijumaa wana JF. Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo. Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika. NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
  4. JamiiForums Tanzania Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete ashiriki ibada ya mazishi ya Lukuvi, Iringa

    GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  7. JamiiForums Tanzania Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

    @prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA @prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  10. JamiiForums Tanzania Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

    Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka. (Kaaba History, Sabir Khan) Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma) Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu acheni kuonyesha misimamo yenu ya kisiasa kwenye nyumba za ibada tunasali/kuswali watu wa vyama vyote

    Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa kunibadilisha Mimi chama changu hata ufanyaje. Nawatakieni sikuku njema wakuu. Tuwe na kiasi Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  17. JamiiForums Tanzania Makisio ya ibada ya Jumapili – Injili na Imani Katika Umoja

    Jumapili ijayo itasimama kama tukio la kipekee la ibada, ambapo waumini wa kanisa letu watakusanyika kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani. Misa ya pili itaongozwa kwa upekee na kwaya ya Mtakatifu Muhammad Hussein, ambao sauti zao zimekuwa faraja na kuinua mioyo ya wengi. Wakati huo huo, jukumu la...
  18. JamiiForums Tanzania Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

    Hakika leo tutamuona Bwana. Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu https://www.youtube.com/live/ZwoR6G-ES4A?si=KkuSya7M3fCqZb_-
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kuliombea taifa

    IBADA YA KULIOMBEA TAIFA Kuna njia nyingi za kuonyesha hatupendezwi na yanayoendelea nchini na kuombea muafaka wa kitaifa kwa kushiriki ibada maalum tunaweza kutenga saa, siku kadhaa kuliombea Taifa. Hizi ibada, maombi dua maalum zinaweza kwenda pamoja na mfungo kila mtu kwa imani yake lakini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…