huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

    Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ? Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
  3. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nikiona picha za gen z Kenya huku nikisikiliza ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la uzalendo embuu jaribuni na nyie

    Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
  4. JamiiForums Tanzania Mitandao huwa haisahau, Diamond mwaka 2013 ulikuwa unalalamikia yaleyale ambayo raia wengi wanayalalamikia leo hii

    Masikini akipata matako hulia mbwata!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Mimi nashangaa na kujiuliza sana. Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii? Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu ya huyu mstaafu, ufisadi, kuharibu chama chao hadi kifo cha Magufuli na wasaidizi wake. Yupo kimya.
  6. JamiiForums Tanzania Huwa inatokea mwanaume kum-admire mwanaume mwengine, na ni kawaida

    Kuna kitu wanaume huwa hawa admit mana wanaona kukubali hii ni kama sio urijali, ila unaweza ukatokea tu unamkubali jamaa fulani naturally, labda ukimuona au kumsikia, haimaanishi kwamba wewe sio lijali, i upendo tu wa kawaida ad natura one. Kwa wadada wao hawafichi mana katika jamii hiwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Ina maana Mashekh wao huwa hawaoni changamoto katika uongozi ?

    Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.? Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi . Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa na elimu ndogo ya kuuelewa ulimwengu.
  8. JamiiForums Tanzania Huwa nachukia nikimsikia mtu anarudia rudia kusema 'mtu na dada yake' ninapozungumza naye

    Wakuu huwa napandwa na hasira Kali mtu akiwa anarudia rudia neno 'mtu na dada yake'. Jana Kuna mtu mmoja nilimrukia na kumgaragaza kama chui jamaa mmoja aliyekuwa anarudia maneno haya katika Kila sentensi lakini nilijutia. Hebu naombeni ushauri jinsi ya kuepukana na hasira inayoyoletw na maneno...
  9. JamiiForums Tanzania Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    Salam bandugu Je umeshakutana na hii? Umekaa zako w-end nyumbani labda unaangalia tv, hujakaa sawa unaambiwa mara Nido imeisha, na ni juzi tu ulinunua mara sukari haitoshi mwambie baba Yako akupe Hela,mara watu wa usafi nnje Jana walipita nikamwambia Leo ntawapa Hela, au ile, una 2000 hapo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana. Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

    Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi msiokunywa pombe usingizi huwa mnaupataje?

    Ni siku ya pili sijagusa tungi kabisa. Sasa changamoto ninayoipitia ni kukosa usingizi kabisa,yani nachelewa kulala na pia nawahi kuamka. Sasa nawaza nyie msiokunywa tungi kabisa,huwa mnatumia mbinu gani kupata usingizi?
  17. JamiiForums Tanzania Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Nimekutana na mada ya moto kidogo. Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi. Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi wanasema hapana. Kuna wanaoamini nguo ukizirundika na huna matumizi nazo basi unazifunga ridhiki zako...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…