huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa miamba(Geography) Je ni kweli kwamba Volcano inapolipuka huwa inabeba madini Ndani yake?

    Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  4. JamiiForums Tanzania Ni style gani ambayo wanawake huwa wanaiogpa?

    Wakuu,kidumu chama cha Mapinduzi? Hivi ni style gani ya kugegedana ambayo wanawake huwa wanaiogopa sana?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Kwema wakuu, Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule, Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita, Swali langu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini sherehe za Muungano na Uhuru wa Tanganyika huwa zinafutwa lakini za Mapinduzi haizfutwi?

    Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12). Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
  10. JamiiForums Tanzania Bunge linamalizika, je Samani huwa zinabadilishwa, naona fursa ya Viti vile😌

    Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya.. haya tuachane na hiyo😊 Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu. Kwanza tunapunguza nuksi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hii staili katika mapenzi huwa inakupa changamoto gani?

    Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili? Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
  12. JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia RAIS SAMIA Hasomi chochote anacholetewa Mezani, yeye ni kusaini tu , Aliyefukuzwa Ukurugenzi Arusha kwa Ufisadi, Ateuliwa Tabora !!

    Mnaona MTU wenu sasa anavyoendelea kadhihirisha kua Wanaomzunguka wanamchezesha kidalo Poo watakavyo nayeye anacheza ,huku wakimsifia Mamaa mamaaa unaupigaa unaupigaaa !!. Kuna mwaka alimtumbua Mkurugenzi wa Musoma Vijijin Bwana Panela Nitu Msongela , kwa Makosa ya Utumbuaji Fedha, Usimamizi...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu tupige story. Iwe ni kichekesho, mzaha ya kweli au kitu chochote kile huwa ukikumbuka unacheka pekee yako

    Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata. Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji chetu kama sio kata nzima basi ni mzee wangu pekee ndo alikuwa nayo tena motorola. Basi bro yangu...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nadhani hata Mungu huwa anamshangaa Gwajima!

    "Muogope Mungu na Teknolojia" RUGE
  15. JamiiForums Tanzania Israel huwa inapiga mabomu spitali za Gaza. Jana spitali yao nao imekula kombora la Iran!

    Now, make it make sense. Israel huwa ikilipua spitali za Gaza inadai kwamba jengo lilikuwa linatumika kama command center ya Hamas, etc. Jana/ mapema leo Iran nayo imerusha kombora kwenye moja ya spitali huko Israel na viongozi wa Kiyahudi wanalialia kuwa Iran imecheza rafu 🤣. Well, mi nahisi...
  16. JamiiForums Tanzania Huwa nasangaa mtu akitumia DELETE keyword kwenye SQL

    Huwa nahisi ni hamna haja ya kufuta record permanently kwenye database Ni bora item uka i mark deleted kuliko kuifuta kabisa
  17. JamiiForums Tanzania Matukio yangu binafisi ambayo Huwa nikiota yanakuwa kweli Kwa 100%

    Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia . Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani! Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa miaka hiyo niliota ndoto zaidi3 ya tukio Baya (sitalitaja) ila lilihisu kifo Cha kinyama nikamwambia...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya ushirika huwa wanalipa mshahara kiasi gani?

    Kuna chama kimoja cha ushirika mkoani mbeya nilifanya nao interview ya nafasi ya uhasibu.sasa katika interview waliniuliza mshahara ambao ningependa kulipwa,mimi nikawaambia uwe kati ya 1.7m-2.2m. Jana wamenipigia kuniambia kuwa nimepata ile nafasi na natakiwa kuanza kazi mara moja,nikamwambia...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye majina ya Kelvin huwa hawakui?

    Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…