Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie...