huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  2. JamiiForums Tanzania Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  3. JamiiForums Tanzania Huwa mnadeal vipi na watu hawa

    Salute comrades. Acha nisemee upande wa wanaume wenzangu kuhusu hili suala la mtu kuwa na hii tabia ya kukupigia pigia simu na kutumia message kila wakati baada ya nyinyi kubadilishiana mawasiliano. Mimi kuna dada mmoja nilikutana naye sehemu nikavutiwa naye nikaamua kumtongoza na bahati...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hawa matapeli wanaotapeli watu huwa hawaogopi karma ?

    Huwa najiuliza matapeli wanaoiba na kutapeli WATU huwa hawaogopi karma ?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi?

    Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
  8. JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  9. JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  10. JamiiForums Tanzania Ni mchekeshaji gani wa Kibongo huwa hakuchekeshi kabisa?

    Wakuu, Leo nilikuwa nimekutana na clip moja ya huyu mchekeshaji anaitwa Ndaro huko Youtube Nimejaribu kuangalia for at least 3 minutes kwa kweli nimeshindwa. Yaani jamaa hachekeshi kabisa Lakini cha ajabu ni kwamba hiyo video ina views zaidi ya 400k. Kuna huyo Ndaro, Steve Mweusi na yule...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    No reforms, no election. Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani? Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini? Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti? Wanaume wenye hii...
  12. JamiiForums Tanzania Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo kwenye Biblia mengine Huwa yanafuraisha

    Pia Uliza yona alitumwa ninawi alikoenda anajua yeye🤣🤣😁 shusheni comments wakuu mambo yaliyowafuraisha katika Biblia
  14. JamiiForums Tanzania Ni golikipa mzuri ila huwa anawaza nini?

    Huyu golikipa wa Simba Hussein Abel ni kipa mzuri. Anadaka kama nyani. Ila nimegundua mawazo yake yanakuwaga mbaaali sana au ni swaga zake tu. Huu ni uzi wa kusherehesha Jumapili yenu tu. Msiuchukulie serious kihiiivyo.
  15. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujitaman? Kuna wakati huwa najitamani mwenyewe

    Nikiangalia kwenye kioo, Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed. Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa. It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”
  16. JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  18. JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Wanawake wanaoomba msamaha waume zao huwa wanadumu ktk ndoa

    Hakuna mwanaume anabakiwa na hasira zile zile akiambiwa bby am sorry na hakuna mwanaume anaweza kumvumilia mwanamke akiwa jeuri / mjuaji
  19. JamiiForums Tanzania PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
  20. JamiiForums Tanzania Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…