Ebu nipe location yako chap Nifike hapo tuuweke mkono chini , zipigwe mtu bee pasipo Allah kuingilia, na hii battle ni bila sababu ya msingi zaidi ya mim kuwatamani tu wanetu.
Jana usiku wa manane nimemkalisha mmoja wenu na upper cut za kutosha maeneo ya Kitengule hospital tegeta baada ya...
I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko
Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile.
Tumekutana tumesalimiana vizuri...
Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?.
NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE: CCM magnates in the media
The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the...
Wakuu salam!
Yawezekana ukawa nyumbani na kitu,vitu ambavyo huna matumizi navyo, mf godoro labda umeshanunua lingine na Kwa sasa haulitumii,kabati,tv,radio, jiko,simu,meza,sofa n.k
Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kusaidiana wale wenye kipato Cha chini au wanaoanza maisha kujipatia vitu Kwa Bei ya...
Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hilo swali maana nimeuliza mashekhe wameishia kusema Mungu anajuaaa tyuu waislamu wa kiume wakifa wakiwa wema wanapewa wanawake bikra 72 na mito ya asali maziwa
Sasa jee wanawake wakifa wema watapewa nini huko peponi na kama hawatapewa hivyoo sasa...
Jeshi la Wananchi (JWTZ) limetangaza kuwachukulia hatua viongozi wa ndani na nje ya jeshi hilo na vijana waliohusika katika vitendo vya udanganyifu katika uandikishaji wa majina ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Udanganyifu huo ulihusisha ukiukaji wa taratibu na kughushi nyaraka na...
Yaan nimepiga calculations zote majibu hakuna, integrals, pythagoras theorems mpaka ma-pai-chart kitu kinasoma bila bila. Na hiio ni Hisabati.
Hii inakuaje Wakuu? Hesabu zimegoma kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.