mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,386
- 9,201
Ebu nipe location yako chap Nifike hapo tuuweke mkono chini , zipigwe mtu bee pasipo Allah kuingilia, na hii battle ni bila sababu ya msingi zaidi ya mim kuwatamani tu wanetu.
Jana usiku wa manane nimemkalisha mmoja wenu na upper cut za kutosha maeneo ya Kitengule hospital tegeta baada ya kuchongoa mdomo kwenye mataa.. Nimejikuta nawatamani sana.
Jana usiku wa manane nimemkalisha mmoja wenu na upper cut za kutosha maeneo ya Kitengule hospital tegeta baada ya kuchongoa mdomo kwenye mataa.. Nimejikuta nawatamani sana.