Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar.
Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amekutana na marais wastaafu wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Shein wa awamu ya saba na Amani Abeid Karume wa awamu ya sita, Ikulu Zanzibar jana Jumamosi, Novemba 8, 2025.
Marais hao wastaafu wamemtembelea Rais Mwinyi kwa lengo la kumpongeza kwa ushindi wa...
October 30, 2025
Tanzania's Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has won a second term in office, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) announced on Thursday night.
ZEC Chairperson George Joseph Kazi said Mwinyi, the candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party, won 74.8 percent of the...
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar
Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025
Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura
139,399
ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya chama hicho itahakikisha inaendelea kulinda amani, umoja na maridhiano akieleza kuwa mambo hayo ndio...
Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji.
Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
Ningependa kumkumbusha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi kuwanunulia watoto wa maskin, mayatima na wasiojiweza viatu vya kuendea shule.
Nakukumbuka enzi za utawala wa Dr. Shein nilipokua primary alikua anagawa viatu shule zote za Zanzibar kuanzia primary...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu.
Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi, amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli, (Petroleum Fund), ambayo itasaidia katika utafiti, ubunifu, mafunzo na uendelezaji wa Sekta ya Mafuta kwa ujumla.
Dk. Mwinyi...
RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa...
Wakuu,
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
"Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.