huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?

    Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru? https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  4. JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bado Mahakama haiko huru, tusiwe lured na hiki kihukumu cha Lisu. Mahakama needs to do more to regain its independence. NAIHESHIMU SANA MAHAKAMA

    Jana Mahakama imetoa ushindi kwa LISU. Kumekuwa na nderemo na vifijo kwa hukumu hiyo. Kwangu mimi sina la kushangilia, bado Mahakama ni tawi la serikali linapokea maagizo ya serikali. Tusishangilie vitu vidogo kama hivyo! Bado mahakama haiko huru. It needs to do more! And this is difficult to...
  6. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pre-Session Meeting ya tarehe 05 Agosti 2026 - Ni mwanzo kwa ATL kuwa Huru na Masharti ya Common Wealth Kufuatwa???

    Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1??? Je...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yamuachilia Huru Dereva wa Rally Maxine Wahome katika Kesi ya Mauaji ya Assad Khan

    Mahakama Kuu imemuachilia huru dereva wa mbio za magari, Maxine Wahome, katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake wa zamani, Assad Khan, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake bila shaka yoyote. Katika uamuzi uliotolewa Jumanne, Julai 28, 2026, mahakama ilisema...
  9. JamiiForums Tanzania Mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru kwelikweli

    Hakuna mtu atakayekuja kukuambia au kukufundisha ukweli. Ukweli unafahamika na unapatikana kupitia kufahamu. Kufahamu ukweli ndiyo ukweli wenyewe na hiyo ndiyo maana ya maana ya kufahamu kweli. Jamii ina namna yake inayotaka mambo yafahamike ndiyo maana ipo mifumo mingi sana leo Duniani ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Msanii Sean Combs aka Pdidy huenda akaachiwa huru

    Huyu mwamba unaambiwa baada ya upelelezi wa kina kufanyika imebainika kesi alisingiziwa hakuna ukweli wowote! Swali la kujiuliza je yale mafuta ni kweli aliyaweka ndani na kwa minajili gani? Nikawaza au ni figisu za wazungu kuwafanyia watu weusi kuwadidimiza kimziki na kiuchumi? Na je? Ikiwa ni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  12. JamiiForums Tanzania Mchome: Serikali imwachie Tundu Lissu, amekaa gerezani mwaka mmoja na nusu kwa kesi ya mchongo

    Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti wa CHADEMA,, akidai kuwa chama hicho kinamhitaji ili kurejea kuongoza shughuli zake na kusaidia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kapanya: Samia mwachie huru Tundu Lissu taifa inamuhitaji. Acheni kufungia Mikutano watu waseme wakombolewe

    Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo. Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji. Nimechoka na hii kazi, Nimechoka kuwa dada poa, Nimechoka kudhalilika kwenye jamii, Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani, Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari. Inafikia mahali...
  15. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mahakama huru, zingezuia katazo la mikutano ya mikutano ya hadhara kutoka Kwa Waziri Katambi

    Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani? Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba, Nadhani huu...
  16. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wamechoshwa na Serikali, Dini na Siasa: Wanataka kuwa huru

    Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu katikakati ya vurugu " to bring order out of chaos". Watu waliipokea imani hiyo na kukasimisha mamlaka yao...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 8 kati ya 12 waachiwa huru, walipotoka nje wamekamatwa tena na Polisi, haijulikani walipo

    Kuna tukio lililotokea mkoani Arusha, leo Juni 5, 2026 ambapo masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa gerezani walifikishwa mahakamani. Inadaiwa kuwa kati yao, masheikh 8 waliachiwa huru na mahakama, huku wanne wakirejeshwa gerezani. Hata hivyo, baada ya wale wanane kutoka nje ya mahakama...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kweli jamaa yupo huru uraiani!?

    Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu. Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Unajidai upo huru, ajabu unalilia usiwekewe vikwazo?!

    Tanzania ni Nchi huru na isiyoweza kuingiliwa na Nchi nyingine kwenye masuala yake ya ndani. Sasa, kwa nini tunawa-bembeleza waa-Amerika wasituwekee vikwazo? Kwa nini tusiwapuuze waa-Amerika kwa takwa na nia yao ya kutaka kutuwekea vikwazo ambavyo kama Nchi huru, havitatupa athali yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…