humu

The VL Humu (Whirlwind) is a Finnish fighter aircraft, designed by Valtion lentokonetehdas in 1944, and based on the American Brewster F2A Buffalo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wakati ukiomba msaada humu, upati msadaa sahihi

    Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye...
  4. JamiiForums Tanzania Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

    Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo... Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine. Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji. JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    adriz de mbusii Intelligent businessman
  6. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Wananchiii, Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji. Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

    Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa . Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
  9. JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  10. JamiiForums Tanzania ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  12. JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi je Kuna mwenye kujua chanzo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…