humphrey

Humphrey is both a masculine given name and a surname. An earlier form, not attested since Medieval times, was Hunfrid.
Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Mchungaji Fadhili Juu Ya Humphrey Polepole Watimia

  2. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania HumphreyHumphrey Polepole amefikisha saa 27 tangu adaiwe kutekwa ndo tunamsahau taratibu kama Mdude, why?

    Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamtafuta Augustino Polepole kutoa ushahidi juu ya shutuma za kutekwa Humphrey Polepole

    Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo. Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Appreciation post kwa Ndg. Humphrey Polepole

    Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu. Polepole anaipenda Tanzania. Polepole anaipigania Tanzania. Polepole sio mwizi. Polepole sio mroho wa madaraka. Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania. Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

    Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli. Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Key Components of EPC+F

    Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo: C&P from Google EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for all phases of a project, including securing the necessary financing, in addition to designing...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Humphrey Polepole hana jipya wajue

    Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote 2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
  15. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Na wewe umechanganyikiwa au tusikilizie kidogo..?

    Sindano inachoma lakini ndo tunajifunza na ukiona mtu analalamika maisha magumu we mpige Kofi tu na oktoba tunatiki🤣🤣🤣
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana Balozi Humphrey Polepole. Ananigombanisha na Chama sana

    Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole. Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Toto tundu Humphrey Polepole tafadhali sana tusitiri sisi ndugu zako

    Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu. Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tumuulize H. Polepole, Nini kinafuata baada ya CCM kushupaza shingo?

    Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu? My suggestions: 1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani 2. Tumia influence ya ubalozi wako...
Back
Top Bottom