Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district
Akizungumza kwa njia ya mtandao Septemba 30, 2025, Humphrey Polepole alithibitisha kuwa yupo nchini Tanzania, lakini hatoonekana kwenye kituo chochote cha kupiga Kura, akisisitiza kuwa hakuna uchaguzi bila muafaka wa kitaifa kwanza.
Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.
Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii...
Wote Mrema na Polepole walijiuzulu kutoka nafasi zao za juu ndani ya chama na serikali.
Wote baada ya kujiuzulu nafasi zao ndani ya chama na serikali wakawa wakosoaji wakuu wa chama na serikali hiyo hiyo waliyokuwa wanafanya kazi awali.
Wote Mrema na Polepole wakateka hisia za wananchi wanyonge...
Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014.
Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana.
"Polisi...
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.
Huwezi kuahidi wananchi kuwa...
Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja...
Polepole: Wananchi awakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM na wahanga ni Tanzania nzima
Nikusihi usirudie tena kuwatisha waTanzania kwa dhamana waliyokupa.
Anaandika Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram:
"Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya kawaida na bado unahisi na kuona kutokuwaamini, ukiona wakitajwa unahofia usalama wako, ukiona hauwezi...
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini cuba amesema kuna siku ilibaki kidogo tu wachamane au wapigane ikulu kutokana na hali ya uzembe ya baadhi ya watumishi wenzake.
My take: kama hadi watumishi yaani viongozi wanataka kuchapana ngumi ikulu hapohapo basi Rais wetu anadharauriwa sana sana na hawa...
Ukweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole.
Machawa wanataka kutuaminisha kuwa Polepole kapuuzwa,ila ukweli Serikali inatamani imdake ata Leo.
Jana Polepole katoa madai kuwa Mtoto wa Rais ,bwana Abdul, ana genge la kuteka watu, na...
Humphrey Polepole ameibua tena sakata la kupewa Sumu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philip Mangula ambapo amemtaka aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam wakati huo, Lazaro Mambosasa kueleza umma nani alifanya tukio hilo.
Amesema matukio ya Viongozi kudhurika yaliwahi...
Humphrey Polepole ameushauri uongozi wa Jeshi la Polisi kutazama upya mwenendo wake, akibainisha kuwa uaminifu wa wananchi kwa jeshi hilo unazidi kudhoofika kadri siku zinavyosonga. Ameeleza kuwa hali ya wananchi kupuuza maagizo ya polisi na hata kuingia kwenye migongano ya wazi nao ni ishara...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Balozi aliyejiuzulu, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao, Septemba 18, 2025, amesema amesikia kuhusu kuitwa na Jeshi la Polisi lakini bado kuna tatizo Serikalini kwa sababu walipaswa kuihoji Serikali kwanini haijanirejesha nchini baada ya mimi...
Ndugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo!
NB: Naomba Jeshi la Polisi muungane nami wakati wowote kutoka sasa kazi ya kupambana na wahuni na genge la Mtandao ni yetu sote!
Kwa siasa za Tanzania na mambo ambayo amekuwa akiyatolea taarifa polepole kwa nyakati tofauti tofauti lazima kuwepo kwa mashaka makubwa.
kwani huyu mtu amekuwa akilalamika kutafutwa kwa lengo la kumdhuru mara nyingi na watu ambao binafisi yeye hakusema ni vyombo vya dola, post kama ya mohamed...