huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MOI yasogeza huduma za kibingwa na kibobezi kongamano la wanawake TANESCO

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Huduma zilizotolewa ni pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA yafungua dawati la huduma, maadhimisho Siku ya Wanawake

    Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  5. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna mtandao mbovu katika huduma za intaneti kama walivyo Airtel

    Na ukongwe wote huu intaneti tunapata ya bra bra . Sio tu routers zao hata simu pia.
  6. JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  8. JamiiForums Tanzania NGOME J&U wana huduma bora, sambaeni mitaani pia.

    Mimi sijui kirefu cha Ngome J&U ila najua ni vituo vya kuuza mafuta ya Petroli kwa vyombo vya moto (Petrol stations) vinavyopatikana kwenye maeneo/kambi ya jeshi la wananchi JWTZ yanayotazamana na barabara kuu. Inawezekana ni vituo vinavyomilikiwa na jeshi kwakuwa viko maeneo ya jeshi na vina...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

    Habari Wakuu... Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB Leo imenigomea kabisa nimeshindwa kumtumia mtu MB. Shida itakuwa ni nini wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Huduma za ulinzi na usalama

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  12. JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  13. JamiiForums Tanzania Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  14. JamiiForums Tanzania OFFA: Huduma ya Web Design na Hosting kwa 180,000 TU

    .
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Ziwa tunapitia magumu

    Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za kuitumikia taifa na kuhifadhi misitu yetu zinadhalilishwa na tabia zake za kurudisha nyuma kila jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Unahitaji kukuza au kuongeza mauzo kwenye bidhaa au huduma yako?

    Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest. Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Msumi wamiminika kuomba huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi. Mradi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa. Simu: 0753786858 Email...
  19. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded DAWASA yawapa rungu viongozi Makurunge kuwabaini ‘walaghai’ wa huduma

    Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma Kenya Announces Plans to Contact Driving Licence, ID, and Birth Certificate Applicants

    The government has issued a fresh announcement, revealing how applicants will be contacted once their driving licences, national identity cards (IDs), and birth certificates are ready. In a brief notice on Thursday, February 12, Huduma Kenya disclosed that members of the public who applied for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…