huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  2. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  3. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wasafiri wataja top 10 ya mabasi yenye huduma nzuri kwenda mikoani 2024

    Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo. Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa mmoja uliyopo Kanda ya Ziwa. Nikiwa naendelea kuhudumiwa, nilishangaa namna mabasi yalivyo mengi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania tiGO haina huduma ya ROAMING?

    Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu. Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA) kwenye line ya TIGO lakini sijaiona. Kwa nini hivyo? 1. Tigo hawana hiyo huduma? 2. Sijaitafuta kwa...
  7. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

    Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini. Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
  10. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu ya vyoo coco beach

    Hapa beach kuna choo kimoja cha serikali huwezi amini umati huu wa watu eti maji yanatoka kwa shida. Bado mhudumu anashindwa kuhimili uwingi wa wateja wanao kuja kupata huduma,hakuna risiti itolewayo kwa huduma.
  11. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS

    Habari Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao. Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amehack website yetu na kutuvuta tuanze kutoa huduma ya cyber security

    Habari wakuu, Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu. Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Je mahali ulipo unapata huduma za simu kama onavoatahili?

    Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
  15. I

    JamiiForums Tanzania NMB rudisheni huduma ya salary advance

    NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
  16. Wauzaji wa Aluminium

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnahitaji kusafirisha containers, lose cargo n.k naomba tuwasiliane ili muweze kupata huduma bora za usafirishaji

    This service for now is unavailable , we Appreciate your endeavors in making us great Thank you 🙏🏽
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki ya NMB Mihayo Tabora boresheni huduma zenu

    Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Jitahidi utafute kiwanja maeneo ya wenye connections, huduma muhimu hubanwa mitaa ya wasiojiweza ili kuhudumia wenye sauti

    Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
Back
Top Bottom