huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. Mataragio: Tunaimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya nishati ili kufikisha huduma kwa wote

    Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao. Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
  2. DAWASA: Huduma ya Maji Muheza Maili Moja itarejea, mabomba yaliyoharibika yametengenezwa

    DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha, kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili, hayo mabomba mabovu hayatengenezeki? Eneo la Muheza lilianza kukosa maji week iliyopita baada ya...
  3. S

    Karibuni kwenye huduma za Kisaikolojia

    Wote mnakaribishwa.
  4. Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  5. U

    Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  6. Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale. Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
  7. Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  8. TRL imarisheni huduma za reli ya Mwakyembe

    Huduma za treni kwenda Pugu zimekuwa mbovu sana siku za karibuni. Treni zinachelewa. Zinaenda mwendo wa kusuasua. Mabehewa ovyo. Abiria wanaingia bure. Hiyo treni bado inahitajika iimarisheni. Itengeezeeni COST CENTRE yake muine kama inalipa ili ipewe ruzuku ya serikali au mpandishe bei.
  9. R

    Huduma ya jeshi la polisi ya kuripoti mali iliyopotea (lormis) mbona haifanyi kazi?

    Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili. Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende kituo cha polisi kilicho kariba. Nimefika huko nako sikupata ufumbuzi! Nimeambiwa labia mtandao...
  10. Kinondoni yafunga saluni zinazotoa huduma za masaji na kujichubua ngozi kwa kuwatundikia drip

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya ukaguzi wa saluni kadhaa zinazotoa huduma mbalimbali, ikiwemo huduma za ‘kusinga’, ili kubaini ikiwa zinafuata taratibu za utoaji huduma. Hadi sasa, wamefunga saluni mbili zinazotoa huduma hizo pamoja na urembo wa ngozi kwa sababu walikuwa wakifanya...
  11. M

    Mahakama na uboreshaji huduma kidijitali

    Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
  12. Waziri Mhagama: Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa Sasa Kupatikana Wilayani Mwanga, Kilimanjaro

    WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
  13. Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  14. Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  15. K

    NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
  16. Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  17. Computer4Sale SOFTWARE Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi

    Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi 📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢 Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za: ✅ Printing za miradi, makala, na nyaraka mbalimbali ✅ Scanning ya hati muhimu kwa ubora wa juu ✅ Photocopy ya haraka...
  18. Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

    Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi. Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi...
  19. Serikali yakabidhi gari la kubebea wagonjwa, litatoa huduma kwa wafungwa na mahabusu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa huduma kwa wafungwa na mahabusu katika gereza la Ukonga na Magereza ya karibu. Katibu Mkuu amezindua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…