Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).
Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa...
Kelele zimepigwa sana kuhusiana na huduma ya internet nchini lakini hakuna lolote acha tupige na sisi
Bei juu za huduma ya internet.
Ukizoea line fulani kwa muda kinachotokea bando la internet linaisha mapema isivyo kawaida.
- Wengine ukijiunga bando la internet mtandao unapotea zikikaribia...
Njia 30 za kuleta wateja kwenye Biashara au huduma yako:
👉Kwa wafanyabiashara wa Online
👉Freelancers
👉Service provider
👉Wanaouza products za afya
👉Wanaouza digital products
👉Wenye ofisi / kampuni
Hizi ni njia za marketing zinazoleta matokeo kwa watu wengi
Thread 👇👇
1. Target watu wengi kwa...
Nimejaribu kupiga simu kwa NMB huduma kwa mteja (customer service), tokea wiki iliyopita lakini cha ajabu hakuna simu inayopokelewa hadi leo! Sidhani km kuna kampuni mbovu kwa “customer service” kama hawa NMB!
Wana JAMII FORUMS naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?
KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya juma3 nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Ukitaka uadui fika barbershop wale mademu wakikuuliza huduma unazotaka sema nanyoa tu
Huwa wananuna na watakuhudumia kama hulipii chochote
Wakwambie scrub sijui massage ukatae, aisee ndo utakupata
Leo nimefika kunyoa, demu kuniulizia huduma nyingine nikasema nanyoa tu
Yule demu kaniosha...
Hallo wana JF!?
Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!?
Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja.
Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
🔨 UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? 🔨
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na...
1. Almost all banks haziweki "wazi" gharama za kufanya miamala kutoka benki akaunti kwenda kwenye mitandao ya simu and vice versa. Inabidi gharama hizi ziwe wazi na si za kutafuta kama sindano. Kwanini zisiwekwe kwenye website zao? Wanaficha nini?
2. ATM mara nyingi zinakuwa hazina risiti...
Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea
Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA
Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita ambapo makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 54.2 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi...
Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
biashara
huduma
kitaalamu
kodi
kufuata sheria
kuhudumia
kuongeza uelewa
mbalimbali
tayari
uhasibu
ukaguzi
unatafuta
ushauri
ushauri wa biashara
uwekezaji
uwezeshaji
wafanyabiashara
wote