huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa tusaidieni Wakazi za Muriet (Arusha) turejeshewe huduma ya maji, mwezi wa pili huu tunateseka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa mijini na vijijini, Serikali inatekeleza miradi ya maji...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  6. JamiiForums Tanzania Kahama: Akamatwa kwa kujiunganishia huduma ya maji

    IKIWA imepita siku kadhaa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama (KUWASA) kukamata mwizi wa huduma ya maji, kwa mara nyingine imemkata mkazi wa mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama Hamisi Omary kwa tuhuma ya kujiunganishia maji kinyemela na kusababisha mamlaka hiyo kukosa mapato...
  7. JamiiForums Tanzania Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho hakuna huduma ya maji kwenye vyoo na sehemu nyingine siku ya tatu sasa

    Taarifa Jamii Forums hali ni mbaya kwenye Stendi ya Mabasi makubwa iliyopo Mbezi Luis maarufu kama Mbezi Mwisho, hakuna huduma ya maji kwa muda wa siku tatu sasa. Kuanzia juzi Machi 26, 2023 hadi ninavyoandika muda huu asubuhi ya Machi 28, 2023, mamlaka zitusaidie Kwenye vyoo napo mambo si...
  10. JamiiForums Tanzania Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  11. J

    JamiiForums Tanzania DG - RUWASA awaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe kwa kucheleweshewa huduma ya maji

    Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda mrefu. “Kwa kweli kwanza nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa kusubiri mradi huu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Dawasa wataendelea kutegemea mvua zinyeshe ndio maji yatoke hadi lini?

    Hivi jamani hawa Dawasa wataendelea kuishi kwa kutegemea maji ya mvua hadi lini?Nasema hivi kwasababu ni nusura ya mungu tu mvua imenyesha mikoani haswa morogoro na Iringa ndo maji yakafurika kwenye mito ndo na huku tukaanza kuyaona mabombani. Haya mambo ni hadi lini?Jee kila mwaka November na...
  13. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu tazizo la huduma ya maji nchini

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupatia uhai na afya njema. Pili, namshukuru Mungu kwa kutupatia rasilimali lukuki ambazo kwa kutokufahamu kwetu nadhani tushatumia si zaidi ya asilimia 30%...
  14. JamiiForums Tanzania EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 61 bila huduma ya maji Dar es Salaam

    Kipindi stendi kuu ya mabasi Mbezi inafunguliwa na mzalendo namba moja wa karne ya 21 Mh dk John Pombe Joseph Magufuli alitoa maelekezo ya kwamba barabara kutokea stendi hiyo kwenda mpigi magoe ianze kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na maji yapelekwe huko jimbo la kibamba lote Na kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Antony Sanga: Mwaka 2025, lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95

    Katibu mkuu Wizara ya maji Anthony Sanga imezitaka Mamlaka za maji nchini kuhakikisha ifikapo 2025 lazima huduma ya maji iwe imefika mijini kwa asilimia 95 na vijijini kwa asilimia 85 kutokana na ongezeko la mahitaji ya maji litakalo kuwepo kwa mwaka huo. Ameyasema hayo Jijini dar es salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Dawasco rudisheni maji Mbweni JKT!

    Kwani what happened na Dawasco? Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu. Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…