huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Mamlaka za Serikali zina tatizo gani katika kutoa huduma? Huduma zao ni mbovu

    Kuna wakati unafika unajiuliza, hivi kwa nini kupata huduma kutoka baadhi ya mamlaka zetu imekuwa kazi ngumu kiasi hiki, hata pale ambapo mwananchi amefuata taratibu zote zinazotakiwa na kulipia huduma husika? Nitoe mifano miwili ambayo imenikera sana. 1. Vibali vya kazi kwa wafanyakazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu Shule ya Wasichana ya Dr. Tulia Mbeya

    Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Huduma katika Hospitali ya Bugando, kitengo cha macho

    Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko kitengo chochote. Leo ni wiki ya pili nampeleka ndugu yangu ila Dkt. Anatakiwa kuingia Saa mbili imagine...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Responded TANESCO kwanini mnakuwa na huduma mbovu hivi? Mmetanguliza pesa kuliko huduma!

    TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi langu ulianza tarehe 27/01/2026, ambapo niliwasilisha maombi ya kuunganishiwa umeme mara baada ya kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Watu App mna huduma mbovu sijawahi kuona kuanzia customer care mpaka app yenu ni ovyo

    Kama mpo humu basi hii inawahusu kwanza customer care sijui mnaweka wanawake single maza maana wana kauli mbaya pia wa kiume nao hovyo kabisa sijui mme weka wale wenye misongo ya mawazo Kitu kingine unamuwekeaje limit ya kufanya malipo kwa kutumia no nyingine are u serious yaani nataka kufanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kununua bidhaa au kulipia huduma kwa ndugu, bestie au mtu wa karibu, halafu ikawa mbovu lakini ukalazimika kukaa kimya ili usiharibu uhusiano?

    Ilikuwaje? Je, uliwaambia ukweli baadaye au uliamua "kuuchuna" tu? Tuambie uzoefu wako kwenye comments. Ndugu Supplier wako wa muda mrefu mtoto wako mwenza wako bestie,
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za MCT: Ada Kubwa, Huduma Mbovu, majibu ya mitihani na leseni hawatoi kwa wakati

    Kuna kero sana kwenye hii Medical council of Tanganyika(MCT), chama kinachosimamia madaktari wa nchi hii kila mwaka tunalipia leseni laki moja na elfu hamsini, lakini hakuna cha maana tunachopata Sasa hivi mtu unalipia lakini wanashindwa kuhuisha leseni ukiwapigia simu hawapokei muda mwingine...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Rasilimali Watu (HR) wa Ilala ana Huduma Mbovu kwa watumishi

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake. Imefikia hatua mtumishi kwenda kupata huduma kwa huyu dada kuwa kama adhabu kwani na hata hiyo huduma...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

    HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 .. NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA MZIMA UNAFIKA NA MAFUA .. UKIULIZA KWANINI HAMUWASHI AC, UNAJIBIWA ITAWASHWA .. NA SASA TUMEFIKA...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abood wametukomesha, safari ya Dar – Mbeya imechukua Saa 24, wana huduma mbovu kwa wateja

    28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja. Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Kuna Taasisi ya Serikali yenye huduma mbovu kuizidi NEST (PPRA)?

    Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee) Serikali ya CCM imefeli sana kwenye utoaji huduma. Ni kweli. Achana na mahospitali, shule za umma, jeshi la polisi na kwingine kote unakoweza kutaja. Ila aisee NeST ni wazembe na wazinguaji balaa. 1. Utaambatanisha nyaraka zako ili...
  14. JamiiForums Tanzania KERO CRDB Benki mna huduma mbovu sana Jirekebisheni

    Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi. Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao kama una shida ya muhimu hesabu umeshafeli. Kwakweli najuta kuwa mteja wa hii Benki nitawahama soon...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu za BRELA kuanzia mifumo mpaka watoa huduma

    Kwakweli nimepata experience mbaya na BRELA. Kujisajiri kwenye mfumo wao ni tabu. Nimewatafuta kwenye mitandao ya kijamii pia hawatoi msaada. Nimeamua kuwapigia. Ila wakisikia tatizo langu wanakata simu. Sasa si wafunge tu ofisi tujue hawana maana
  17. JamiiForums Tanzania KERO Tanesco ni Wafalme wa huduma Mbovu Tanzania

    Customer Care ya Tanesco ni Geresha! Mwanzo ilikuwa mtu unapiga simu kwenda kwenye tawi la mtaa uliopo kisha mafundi wanakuja kurekebisha tatizo, Walipoona wanasumbuliwa sana ndipo wakaamua kuweka namba moja (Dodoma makao makuu) ambayo kimsingi namba hiyo ni geresha ya kuonekana nao wanasikiliza...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TiGO, sasa yas by mix ina huduma mbovu za kifedha!

    Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Kigamboni – Temeke zinakera Wateja kwa huduma mbovu, LATRA tusaidieni

    Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho. Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke, mlangoni pameandikwa Sh 600 lakini wao wanatoza Sh 700. Tatu, wakishachukua hela, hawatoi tiketi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…