huduma kwa wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  2. JamiiForums Tanzania Vodacom Nitawashtaki

    Leo nimechafukwa kupita maelezo! Hivi nyie Vodacom Tanzania kwanini mnaniibia? Kwanini mnaniunga na huduma bila ridhaa yangu na kuanza kufyeka salio langu? Cha kusikitisha nilipowapigia watoa huduma wenu (customer care) wanasema eti nilijiunga na huduma inaitwa SOKA LETU, jamani Vodacom...
  3. JamiiForums Tanzania Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

    Kwema ndugu, Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine. Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind...
  4. JamiiForums Tanzania Costumer service, accountability and responsibilities vyaanza kudorora ofisi za umma

    Ndugu zangu habari za muda huu, nimatumaini yangu sote tunaitekeleza slogan ya mkuu wa kaya. Twende moja kwa moja kwenye mada kipindi cha awamu Serikali iliyopita tuliona bwana yule alivyojitaidi kurudisha nidhimu kwa watumishi wa Umma kwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa. Watumishi...
  5. JamiiForums Tanzania TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini. Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi. Karibu tukuhudumie
  6. JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

    Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano kati ya Kampuni ya simu na Mteja wake

    Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake. Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana hiyo namby za kawaida haziruhusiwi kutumika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…