Nimeisikiliza hotuba ya Dk Slaa kuhusu Legacy ya Magufuli, sikatai kuwa Magufuli ana mambo mazuri na ana legacy yake inayopaswa kuenziwa, lakini alikuwa na mapungufu mengi ambayo hata wana CCM wenyewe wanakubali, na Rais Samia mabye ndiye mwenyekiti wa CCM na Rais kwa sasa anarekebisha mabaya...