hospital

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani ya binafsi kwa Dar inafanya vipimo vya uwezo wa kusikia?

    Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana. Naomba kujua ni hospital ipi naweza kwenda na nkapata huduma hii kwa haraka Ili niendelee na mambo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande. Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami. Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
  4. JamiiForums Tanzania Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

    Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole...
  5. JamiiForums Tanzania Hospitali na wodi ya wazee

    Habari Wakuu, Heri ya Christmas na Mwaka Mpya! Naomba kufahamishwa Hospitali na Wodi ambazo kuna Wagonjwa “WAZEE” (Jinsia Yoyote) ndani ya DAR-ES-SALAAM au Ukanda wa Pwani ili niwatembelee na kuwapa Sadaka. Asante🙏🏼
  6. JamiiForums Tanzania Walimu na Madaktari waliohitimu wajiunge pamoja waanzishe Shule na Hospital binafsi ila Serikali iwape Mikopo ya kuendesha hizo Taasisi

    1.0 Waungwana Habari zenu!! Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira. Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  8. JamiiForums Tanzania Kwahiyo sasa iitwe Mirembe Ummy Mwalimu Mental Hospital au?

    Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema anatamani kubadilisha jina la Hospitali ya Magonjwa ya Akili la Mirembe kwa sababu watu wanaoenda katika hospitali hiyo wanaonekana kama ni 'machizi'. Chanzo: Clouds Media Yaani Waziri mzima tena wa Wizara Nyeti na Muhimu kwa Ustawi wa Afya...
  9. JamiiForums Tanzania Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

    Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari. Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari? Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  12. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hospital gani nzuri ya mifupa kwa hapa Dar es Salaam?

    Habari Naomba kuuliza kwa hapa Dar ni hospital gani binafsi nzuri ya mifupa ambapo doctor anapatikana kila siku kwa maana kuanzia jumaatatu hadi jumaamosi? Asante.
  14. J

    JamiiForums Tanzania NHIF kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36, pia itatumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

    Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36. Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo. Source: Kipima Joto, ITV
  15. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana H. pylori. Ukiwa na Bima ya afya lazma uambiwe una H. pylori. Nilipeleka mtoto wangu akaanbiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  17. JamiiForums Tanzania Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  18. JamiiForums Tanzania Operations Supervisor at Puma Energy – LPG

    LPG – Operations Supervisor Puma Energy Main Purpose: In collaboration with Finance Stocks Team and Business Support Supply section, we are looking for a high performing individual who will Manage and maintain inventory and supplies by receiving, storing and delivering items as required...
  19. JamiiForums Tanzania Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔 Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mgonjwa wa Omicron aripotiwa Tanzania, alazwa Hospitali ya Amana

    Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita. Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…