Juzi nimemuona hospitali akiingia CTC

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,003
68,140
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole, mtaratibu, mcha Mungu, mpambanaji mengineyo siyajui kwa sababu ya umbali.

Baada ya kuzoeana tulibadilishana namba na akaanza kunitafuta kwa speed ambayo ilinipa wasiwasi. Kwakuwa dalili nilishaziona nikatulia sikutaka kujipa majukumu wakati tupo mbali(fimbo ya mbali haiui nyoka)siyataki kabisa mahusiano ya mbali. Kuna siku alinipigia simu usiku ikawa inatumika, hiyo siku ndipo alipofunguka kuwa ana wivu nami kwanini nnaongea na KE usiku? "Hujui kama unaniumiza"? Ah sikumjibu kitu nikampotezea. Sikuwa naongea hata na KE.

Siku zikazidi songa, akazidi kuwa open kwangu lakini nikawa nampotezea sana hadi nikawa sipokei simu zake. Baada ya kuona hivyo aliniambia yupo tayari kunifuata nilipo tuishi wote na yupo tayari kuacha kazi ili anifuate anayo akiba kidogo itakayomuwezesha kuanzisha biashara huku. Sikukubaliana nae na wala sikumkatisha tamaa nilimwambia subiri ntakupa uamuzi wangu. Muda ukapita akaona kimya sikumjibu na sijamjibu hadi leo, akaniomba endapo nikija mkoa alipo nimjulishe tuonane, kuna kipindi nilifanikiwa kufika mkoa alipo lakini sikuwa na kumbukumbu nae kabisa. Siku nayoondoka ndio siku aliyoniona, alilalamika sana na kunipigia akilia kwanin namfanyia hivyo(binafsi sikudhamiria). Nikaweka maneno basi akatulia akinisihi nimruhusu aje nilipo au next time nikija nimjulishe.

Kasheshe ikaanza kila nikija nikimjulisha tuonane naona kama ananikwepa lakini nikiondoka yanakuwa maneno mengi kwenye simu siku ukija nitakupa hiki, mara kile nitakupa vyote. Kafanya hivyo mara 3, misheni ikifeli mimi huyo na mambo yangu ngono sio jambo la kulipa kipaumbele sana kwangu.

Last time alinitafuta akalalamika nimemsusa akaniuliza nitakuja lini? Nikamwambia me nipo, akauliza mbona ujaniambia kama umekuja? Akajiongeza, Basi naomba tuonane tarehe 1 au 2, nikamwambia poa lakini vipi kwanini isiwe tarehe 30? Jibu likawa ni hapana kuna mahali naenda ni muhimu. Nikamkubalia.

Tarehe 30 bila kutarajia kuna ndugu yangu alizidiwa ghafla ikabidi tumuwaishe hospital X. Tumefika pale mgonjwa akapokelewa nikawaacha wawili (mgonjwa na ndugu yangu mwingine), mlinzi akahitaji nitoe gari pale sio sehemu ya parking(emergency area). Basi nikatoka kutafuta sehemu ya kupaki gari, kulikua na foleni sana parking area zote za karibu zimejaa, ikanichukua mda kidogo nikapata nafasi baada ya gari moja kutoka.

Baada ya kupaki nikarudi ndani hospitali sehemu nilipowaacha ndugu zangu, sikuwakuta eneo lile nikaangalia huku na kule na kwa wingi ule wa watu sikufanikiwa kuwaona. Nikachukua simu kuwapigia wanielekeze walipo niende lakini simu ziliita bila kupokelewa kumbe walisahau simu nyumbani( kwa zile haraka za kuwahi huduma). Ikabidi niwaulizie mapokezi nikaelekezwa jengo waliloelekea na nikaanza kulitafuta jengo husika.

Nilikua naenda nkipepesa macho nikisoma utambulisho wa majengo ili nifike jengo nililoelekezwa. Ghafla nikiwa napepesa macho nikamuona yule binti anatembea kuingia jengo limeandikwa CTC(ndio utambuzi niliouona kwenye jengo lile), sikushtuka nikaendelea na safari yangu na nikafanikiwa kuwaona ndugu zangu. Mawazo yakanijia nimtafute ila simu ikaita na baada ya kupokea nikawa nimesahau.

Ukafika mda wa kuondoka hao mdogo mdogo tunatoka, kama ilivyo kawaida kwa wanaoingia mlinzi anawauliza wanaelekea wapi na kufanya nini. Kabla ya kufika kwa mlinzi tulipishana na mishangazi miwili meupe (ule wa kujichubua), wakampita mlinzi. Mlinzi akawaita kwa sauti kubwa "nyie kina mama mnaenda wapi mnapita bila hata kutoa salamu"? Aligeuka mmoja na kumjibu " tunawahi kuongeza dawa za Ukimwi Pale CTC". Mlinzi akawaruhusu kuendelea.

NIlishtuka sana kwa yale maneno yaliyoambatana na CTC, nikabaki najiuliza maswali kwa kile nilichokiona kwa yule binti. CTC ndio watoaji wa ARVs?

Wakuu binafsi sijui kitengo cha CTC n nini na kinajihusisha na nini haswa , wenye uelewa na hili mnijuze. Jana kunitafuta anadai anataka anizalie lakini kwa hili la CTC nimeahirisha kukutana nae na sijamtaarifu chochote hadi sasa.

Nawasilisha....
 
Wewe utakuwa unao tu acha kuzunguka mbuyu fanya mazoezi ya kutosha hizo story zikutoke kichwani
 
Mkuu kwanini usimnyooshe maelezo tu huyo bidada, ila anza kwa kumuuliza tu vizuri kama ana mgonjwa hospitalu, akiuluza kwanini mwambie ulimuona hospital iyo siku maeneo ya CTC akijing'atang'ata mtulize akuambie kwa upendo kulikoni?.

Akifunguka pima ujazo ila usimnyanyapae, ishi naye vizuri tu. Labda alikuwa anakukwepa ili asikuambukize, huwezi jua labda furaha yakeni akupigishe stori za miizagamuano ilakufanya anakuonea huruma kusema hawezi so anaamua kula kona.
 
Kumuuliza naona itakuwa ngumu nahisi kama atajiskia vibaya, najaribu kuunganisha matukio inawezekana anao, kuna kipindi huwa anaumwa umwa sana hasa vichomi.
SIkuwahi kumpenda licha ya kunionesha kunihitaji na kwa hili sidhani kama ntaweza mtimizia hayo anayoyahitaji.
Nashukuru hizo chenga chenga za kunikwepa zilifanikiwa maana tungekutana ningepiga.
 
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali tulikua tukionana mtaani lakini sikuwahi kutaka ukaribu nae. Ni pisi ya kawaida sura ya upole, mtaratibu, mcha Mungu, mpambanaji mengineyo siyajui kwa sababu ya umbali.

Baada ya kuzoeana tulibadilishana namba na akaanza kunitafuta kwa speed ambayo ilinipa wasiwasi. Kwakuwa dalili nilishaziona nikatulia sikutaka kujipa majukumu wakati tupo mbali(fimbo ya mbali haiui nyoka)siyataki kabisa mahusiano ya mbali. Kuna siku alinipigia simu usiku ikawa inatumika, hiyo siku ndipo alipofunguka kuwa ana wivu nami kwanini nnaongea na KE usiku? "Hujui kama unaniumiza"? Ah sikumjibu kitu nikampotezea. Sikuwa naongea hata na KE.

Siku zikazidi songa, akazidi kuwa open kwangu lakini nikawa nampotezea sana hadi nikawa sipokei simu zake. Baada ya kuona hivyo aliniambia yupo tayari kunifuata nilipo tuishi wote na yupo tayari kuacha kazi ili anifuate anayo akiba kidogo itakayomuwezesha kuanzisha biashara huku. Sikukubaliana nae na wala sikumkatisha tamaa nilimwambia subiri ntakupa uamuzi wangu. Muda ukapita akaona kimya sikumjibu na sijamjibu hadi leo, akaniomba endapo nikija mkoa alipo nimjulishe tuonane, kuna kipindi nilifanikiwa kufika mkoa alipo lakini sikuwa na kumbukumbu nae kabisa. Siku nayoondoka ndio siku aliyoniona, alilalamika sana na kunipigia akilia kwanin namfanyia hivyo(binafsi sikudhamiria). Nikaweka maneno basi akatulia akinisihi nimruhusu aje nilipo au next time nikija nimjulishe.

Kasheshe ikaanza kila nikija nikimjulisha tuonane naona kama ananikwepa lakini nikiondoka yanakuwa maneno mengi kwenye simu siku ukija nitakupa hiki, mara kile nitakupa vyote. Kafanya hivyo mara 3, misheni ikifeli mimi huyo na mambo yangu ngono sio jambo la kulipa kipaumbele sana kwangu.

Last time alinitafuta akalalamika nimemsusa akaniuliza nitakuja lini? Nikamwambia me nipo, akauliza mbona ujaniambia kama umekuja? Akajiongeza, Basi naomba tuonane tarehe 1 au 2, nikamwambia poa lakini vipi kwanini isiwe tarehe 30? Jibu likawa ni hapana kuna mahali naenda ni muhimu. Nikamkubalia.

Tarehe 30 bila kutarajia kuna ndugu yangu alizidiwa ghafla ikabidi tumuwaishe hospital X. Tumefika pale mgonjwa akapokelewa nikawaacha wawili (mgonjwa na ndugu yangu mwingine), mlinzi akahitaji nitoe gari pale sio sehemu ya parking(emergency area). Basi nikatoka kutafuta sehemu ya kupaki gari, kulikua na foleni sana parking area zote za karibu zimejaa, ikanichukua mda kidogo nikapata nafasi baada ya gari moja kutoka.

Baada ya kupaki nikarudi ndani hospitali sehemu nilipowaacha ndugu zangu, sikuwakuta eneo lile nikaangalia huku na kule na kwa wingi ule wa watu sikufanikiwa kuwaona. Nikachukua simu kuwapigia wanielekeze walipo niende lakini simu ziliita bila kupokelewa kumbe walisahau simu nyumbani( kwa zile haraka za kuwahi huduma). Ikabidi niwaulizie mapokezi nikaelekezwa jengo waliloelekea na nikaanza kulitafuta jengo husika.

Nilikua naenda nkipepesa macho nikisoma utambulisho wa majengo ili nifike jengo nililoelekezwa. Ghafla nikiwa napepesa macho nikamuona yule binti anatembea kuingia jengo limeandikwa CTC(ndio utambuzi niliouona kwenye jengo lile), sikushtuka nikaendelea na safari yangu na nikafanikiwa kuwaona ndugu zangu. Mawazo yakanijia nimtafute ila simu ikaita na baada ya kupokea nikawa nimesahau.

Ukafika mda wa kuondoka hao mdogo mdogo tunatoka, kama ilivyo kawaida kwa wanaoingia mlinzi anawauliza wanaelekea wapi na kufanya nini. Kabla ya kufika kwa mlinzi tulipishana na mishangazi miwili meupe (ule wa kujichubua), wakampita mlinzi. Mlinzi akawaita kwa sauti kubwa "nyie kina mama mnaenda wapi mnapita bila hata kutoa salamu"? Aligeuka mmoja na kumjibu " tunawahi kuongeza dawa za Ukimwi Pale CTC". Mlinzi akawaruhusu kuendelea.

NIlishtuka sana kwa yale maneno yaliyoambatana na CTC, nikabaki najiuliza maswali kwa kile nilichokiona kwa yule binti. CTC ndio watoaji wa ARVs?

Wakuu binafsi sijui kitengo cha CTC n nini na kinajihusisha na nini haswa , wenye uelewa na hili mnijuze. Jana kunitafuta anadai anataka anizalie lakini kwa hili la CTC nimeahirisha kukutana nae na sijamtaarifu chochote hadi sasa.

Nawasilisha....
Kirefu cha CTC (Care and Treatment Centre)

Ni sehemu maalumu inayotoa huduma kwa Waathirika wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuwapatia huduma za matibabu na Matunzo ikiwemo Upimaji wa CD4,HVL na vingine mkuu na pia kuna huduma za dawa za kufubaza virusi vya ukimwi almaarufu ARVs...

My take
sio kila anayeingia CTC basi ni muathirika kwa sababu kuna wengine ni wafanyakazi wa CTC kama washauri,Manurse madaktri na washauri rika (Washauri nasaha wengine) na pia kuna wale wanaoenda kuwachukulia dawa ndugu zao.

Na huenda alienda kumuona mtu au rafiki anayefnya kazi hapo.

kwahyo fanya uchunguzi kabla ya kumhukumu kwa kumuona akiingia CTC ....Kwanini usimshauri mwende naye mkapime Ili ujiridhishe
 
Nitachunguza nijue uhalisia, labda kwa hizo sababu nyingine ila yeye sio mfanyakazi.
Nmepanga tukikutana tupime kwanza kabla ya chochote maana nna hofu dhidi yake sana.
Vipi vichomi vya mara kwa mara+Fever vinahusiana na VVU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom