hospital

  1. M

    JamiiForums Tanzania MRI ipo Temeke referral hospital?

    Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI? NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI. Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu akawa hawezi hata kula, baadae akaja kupoteza fahamu. Tukamleta hapa Temeke kapimwa wanasema ana...
  2. JamiiForums Tanzania Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
  4. JamiiForums Tanzania Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  5. JamiiForums Tanzania Amana Hospital Kuna usumbufu wa Askari waliopo getini

    Naomba Mhusika awawajibishe na kuwakumbusha Askari wa geti la kuingilia wagonjwa. Shida ipo wakati wa kutoka ukiwa na Chombo Cha usafiri,unaulizwa maswali haya ( lazima ujibu Ili ufunguliwe geti) 1) Umetokea kitengo Gani Cha matibabu? 2) Unalipa Kwa Bima ya Afya au Hela taslimu? 3) Leta kadi ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want, the one with effective and functional pre hospital care system leading to minimal lives loss due road traffic accidents

    INTRODUCTION. In Tanzania road traffic injuries causes almost 42% of all death due road traft accident ( TPF, 2016). Apart from deaths also leads to high burden of disability adjusted life years. Many of injuries and deaths are preventable. Many road traffic death occurs in pre hospital...
  7. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero iliyopo hospitali ya Kahama (Goverment Hospital)

    Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic, Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na matusi. Naiomba serikali ilifuatilie na kulichunguza swala hili. Mimi binafsi nimewahi tolewa maneno...
  8. JamiiForums Tanzania Gharama za hospital ni kubwa. Jitahidini muwe na bima

    Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Slovakian prime minister Robert Fico shot and rushed to hospital after ‘attempted assassination

    Slovakia’s prime minister Robert Fico has been injured in a shooting and rushed to hospital. The incident took place in the town of Handlova, some 150 kilometres northeast of the capital Bratislava, after a government meeting. TA3, a Slovakian TV station, has reported that the 59-year-old...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Hospitali za Serikali na private ziwaajiri watu kwa ajili ya ushauri wa vyanzo vya magojwa

    Hii ina maanisha kuwa endapo serikali yetu kwa pamoja na mashirika binafsi au hospital binafs zinaajiri wataalamu kwa ajili ya kutoa elimu au ushauri kwa vyanzo vya magojwa hii itasaidia kupunguza mlundikano wa wagojwa katika hospital zetu. Na hii ninachomaanisha hapo ni kwamba kila ugojwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji firebricks (tofali za moto mkali) kwa ajili ya chomataka hospitali

    Natafuta fire bricks na fire cement kwa ajir ya incinerator naomba msaada wapi nazipata
  12. JamiiForums Tanzania Seifee Hospital walichukua namba yangu kunitumia matangazo yao, hii inanikera sana

    Niliwahi kutibiwa Seifee Hospital iliyoko mjini Dar es Salaam, inayopatikana ile njia kama unaenda Posta. Tangu nitibiwe pale wamekuwa wakinitumia matangazo ya madaktari wanaofika kwao. Hawa jamaa muda si mrefu nitawashtaki maana namba yangu ya simu ni taarifa binafsi na inapochukuliwa inapaswa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  15. JamiiForums Tanzania Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  16. JamiiForums Tanzania 🇵🇸Gaza hospital rape victim lied?

    Al Jazeera has removed all stories about a woman who claimed she was raped by IDF soldiers - after a columnist claimed a Hamas investigation allegedly revealed the woman who claimed IDF raped her at Al-Shifa hospital fabricated her story. She reportedly made the allegations to “arouse the...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

    Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela. Kadi...
  18. JamiiForums Tanzania BIL 1.8 zapelekwa kujenga Hospitali ya Wilaya ya Moshi

    Serikalai yamwaga Bilioni 1.8 ujenzi Hospital ya wilaya Moshi SERIKALI imetoa shlingi Biliioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya wilaya ya Moshi inayojengwa Kata ya Mabogini ukanda wa tambarare itakayohudumia wananchi Zaidi ya 535803 kutoka majimbo ya Moshi Vijijini na jimbo la Vunjo...
  19. JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  20. JamiiForums Tanzania Afisa Utawala anahitajika Waja Hospital Geita

    Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo hivyo au vinavyo karibiana na hivyo mna karibishwa .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…