hospital

  1. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Happy New Year Mzena Hospital

    Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital. Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi. Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu wasababisha kukithiri kwa uchafu kwenye Hospital ya Mawenzi, Mkoa wa Kilimanjaro

    Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali, majukumu ya viongozi wa afya, na athari za mazingira yasiyo safi kwa afya ya umma. Kwanza, wananchi...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

    Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni. Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila 1. Wagumu sana kwenda Hosp 2. Wanaumwa wanaendelea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hospital za Dar wanajua kweli kuiba

    Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria Je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu?
  6. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

    Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
  7. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

    Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama. Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua. Alienda Hospitali ya kawaida baade madaktari wakashauri awahimishwe Hospitali ya Taifa...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo. Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo madaktari hawawezi kumuhudumia mpaka apimwe . Na vipimo hajalipia bado. Muhimbili ambako huduma bei yake...
  10. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

    Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sioo dawa zote ziko hospitali. Zifahamu dawa nyingine pia

    SIYO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA 🙋‍♀️🙋‍♀️ 1.Kufunga ni dawa nzuri. 2.Kufanya mazoezi ni dawa. 3.Kicheko ni dawa. 4.Kula vyakula vya asili ni dawa. 5.Mboga mboga na matunda ni dawa. 6.Usingizi ni dawa. 7.Mwanga wa Jua la asubuhi ni dawa. 8.Kuwa na marafiki wazuri au kuzungukwa na watu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hospital gan ya Ngozi nzur Kwa ZNZ

    Wakuu Habar Zenu, naombeni ushauri kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Dogo ugonjwa wa Ngozi unamsumbua. Ahsante!!
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza

    Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ambapo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Full blood picture ni kipimo gani? Je, nikipima kipimo cha Full blood picture kila ugonjwa mwilini mwangu utaonekana?

    Full blood picture ni kipimo gani? Je, nikipima kipimo cha Full blood picture kila ugonjwa mwilini mwangu utaonekana? Full blood picture au Full blood count kimekuwa ni kipimo kinachosikika sana kikitajwa mara nyingi kila tuendapo kupata huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za afya. Ukitumia...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Jobs at Alexia Hospital

    ALEXIA HOSPITAL JOB OPPORTUNITY Open Vacancy: Lab Technologist: 6 positions Medical Doctors: 11 positions Nurses (RN, EN, & NA): 13 positions Pharmacy Technicians: 4 positions Clinical Officers: 4 positions Requirements: Must have a professional certificate from a recognized institution...
  18. M

    JamiiForums Tanzania MRI ipo Temeke referral hospital?

    Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI? NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI. Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu akawa hawezi hata kula, baadae akaja kupoteza fahamu. Tukamleta hapa Temeke kapimwa wanasema ana...
  19. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  20. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
Back
Top Bottom