hospital

  1. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  2. JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  4. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuzielewa hospital za Tanzania

    Hii imekaaje wakuu. Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza. Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu daktari/mhudumu amekaa na wenzake wawili yaani sio watu wa hospital ni wauza chakula/ mama ntilie...
  5. JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  6. JamiiForums Tanzania Je Mohamed Sinwar kaingia mtegoni? kuna uwezekano keshadedishwa akiwa Hospital

    IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post' Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar angechukua nafasi ya kaka yake, Yahya Sinwar, kama kiongozi mpya wa Hamas. IDF mnamo Jumanne 5th May 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

    Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana Kwani Hospitali kuu ya wilaya ya nyamagana ambayo inapatikana mkuyuni karibu na Butimba kwa sasa naona kama haiwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

    Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu. Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private. Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na havina maji

    Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na pia hakuna maji yapata mwezi Sasa , je viongozi hawalioni hili?
  10. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

    Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/ Hizo hela siyo ishu, Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye, Utaratibu mbovu kupita...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Changamoto za Wafanyakazi wa Hospitali ya Mugana kuhusu NSSF na Mikataba

    Huko mkoani Kagera, katika Hospitali ya Jimbo Katoliki ya Mugana, wafanyakazi wa Mission Sector wanakutana na changamoto kubwa. Baadhi ya stahiki zao, ikiwemo michango ya NSSF, hazipelekwi ingawa asilimia fulani inakatwa kutoka kwenye mshahara wao kwa ajili ya NSSF. Aidha, mikataba yao ni ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama alikwenda kumjulia Hali Nairobi hospital, Kisha ubelgiji, atakwenda pia kumpa pole pale Ukonga.

    Salaam! Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana. Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Hospital za Serikali Kwanini hutu tudude huwa tunawashinda?

    Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!….. Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja. NB: Nawaza kwa sauti Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.
  14. JamiiForums Tanzania Ni hospitali gani kwa hapa Dar es salaam yenye Gynecologist wazuri?.

    Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu . Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma. Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  17. JamiiForums Tanzania Hospital ya muhimbili kujengwa upya k

    Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu Dola za Marekani milioni 468 [takriban TZS trilioni 1.2] ambapo kati ya fedha hizo...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  19. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  20. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…