The Strait of Hormuz ( Persian: تنگهٔ هُرمُز Tangeh-ye Hormoz , Arabic: مَضيق هُرمُز Maḍīq Hurmuz) is a strait between the Persian Gulf and the Gulf of Oman. It provides the only sea passage from the Persian Gulf to the open ocean and is one of the world's most strategically important choke points. On the north coast lies Iran, and on the south coast lies the Musandam peninsula, shared by the United Arab Emirates and the Musandam Governorate, an exclave of Oman. The strait is about 90 nautical miles (167 km) long, with a width varying from about 52 nmi (96 km) to 21 nmi (39 km).
A third of the world's liquefied natural gas and almost 25% of total global oil consumption passes through the strait, making it a highly important strategic location for international trade. It has been so for centuries; its vast hinterlands were rich in luxury trade goods with no easy access to lucrative trading ports. Babur's memoirs recount how almonds had to be carried from the distant Ferghana region to Hormuz to reach markets.
On 22 June, 2025, the Iranian parliament voted to close the Strait of Hormuz, in response to recent U.S. strikes on Iranian nuclear facilities. The decision is pending approval by the Islamic Republic’s Supreme National Security Council.
Wanaukumbi.
🚨KUVUNJIKA
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Chafunga Mlango-Bahari wa Hormuz
Msemaji wa Makao Makuu ya "Khatam al-Anbiya":
◽️Kulingana na makubaliano ya awali katika mazungumzo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa nia njema, ilikubali kuruhusu idadi ndogo ya meli za mafuta...
Aprili 17, 2026 Iran imetangaza kuwa Mlango wa bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz) umefunguliwa kwa shughuli za kibiashara wakati huu wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon.
Waziri wa Mambo ya Nje, Seyed Abbas Araghchi, amesema; "Sambamba na kusitisha mapigano nchini...
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda
Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.
Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na...
https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834
Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi.
Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani.
Hormuz...
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio...
Wanaukumbi.
Hatutahusika katika kuzingirwa kwa Mlango-Bahari, tunafanya kazi kwa dharura na Ufaransa, Uhispania na washirika wengine ili kuunda muungano mpana ili kulinda uhuru wa urambazaji. Marekani haiwezi kuamuru jinsi wengine wanavyopaswa kusimamia mambo yao"- 🇬🇧 Waziri Mkuu wa Uingereza...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa...
Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA.
Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz wakati wa mazungumzo nchini Pakistani.
Iran ilisema haikujali mazungumzo na ingeilipua meli. Kisha Trump akaamuru meli hiyo igeuke na kurudi UAE.
RAN ILIZUIA NDEGE YA MAREKANI YA MAREKANI KUTOKA HORMUZ...
Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti.
Katika hii vita tumeona na kushuhudia huyu jamaa akiforce kuomba poo japo wayahudi wa kibongo wakikaza mafuvu yao , pia tumeshuhudia...
https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni breaking news
Wakati wa mahojiano, Rais wa Marekani Donald Trump alionekana kuidhinisha sharti la Iran katika kusitisha mapigano jana usiku linalowaruhusu kutoza ushuru kwa meli zinazopitia Mlango-Bahari wa Hormuz, akisema kwamba ada hizo zinaweza kutolewa kwa ubia kati ya Iran na Marekani:
"Tunafikiria...
Jumanne itakuwa Siku ya Mitambo ya Umeme, na Siku ya Madaraja, zote kwa pamoja nchini Iran. Hakutakuwa na siku mfano wa hiyo !!! Fungueni hiyo Mlango wa Bahari sasa hivi, enyi vichaa, la sivyo mtaishi katika Jahannamu – SUBIRINI MUONE! Atukuzwe Allah . Rais DONALD J. TRUMP.
Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli.
Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4
Picha na AP
Ukiangalia katika picha hapo...
Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k
Nigeria tayari wameshatembea na upepo
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa.
Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.