hormuz

The Strait of Hormuz ( Persian: تنگهٔ هُرمُز Tangeh-ye Hormoz , Arabic: مَضيق هُرمُز Maḍīq Hurmuz) is a strait between the Persian Gulf and the Gulf of Oman. It provides the only sea passage from the Persian Gulf to the open ocean and is one of the world's most strategically important choke points. On the north coast lies Iran, and on the south coast lies the Musandam peninsula, shared by the United Arab Emirates and the Musandam Governorate, an exclave of Oman. The strait is about 90 nautical miles (167 km) long, with a width varying from about 52 nmi (96 km) to 21 nmi (39 km).
A third of the world's liquefied natural gas and almost 25% of total global oil consumption passes through the strait, making it a highly important strategic location for international trade. It has been so for centuries; its vast hinterlands were rich in luxury trade goods with no easy access to lucrative trading ports. Babur's memoirs recount how almonds had to be carried from the distant Ferghana region to Hormuz to reach markets.
On 22 June, 2025, the Iranian parliament voted to close the Strait of Hormuz, in response to recent U.S. strikes on Iranian nuclear facilities. The decision is pending approval by the Islamic Republic’s Supreme National Security Council.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlango Bahari wa Hormuz ukiwa chini ya Majeshi ya Marekani. Iran mabaki kubwabwaja tu.!!

    Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtake msitake Kuanzia sasa Marekani ni Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz!!

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba Marekani inarejesha kizuizi chake cha majini dhidi ya Iran, akitangaza kwamba Marekani sasa itajulikana kama "Mlinzi wa Mlango Bahari wa Hormuz." Pia alitangaza ukusanyaji wa ada ya 20% kwa mizigo yote inayopita kwenye mlango bahari.
  3. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Iran IRGC: Hakuna jeshi lolote la kutoka nje ya nchi za ghuba inayoweza kudhibiti mlango bahari wa Hormuz

    Leo jeshi la wanajeshi wa mapinduzi ya kiislam ya Iran IRGC limesema kuwa hakutakua na muingiliano wowote wa majeshi kutoka nje ya nchi za ghuba na ghuba ya uajemi usipokua Iran. Strait of Hormuz is no longer free to the international others. Ila kama suezi canals na panama canal wanalipa...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC Iran yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRGC Iran; yajibu mashambulizi yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. IRGC ya Iran Yajibu kwa Mgomo Mzito kwenye Kambi za Marekani Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya: Hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz. 🔹 Tukio hilo lisilo la kawaida na uwepo wa umma katika msafara wa mazishi na sherehe ya kumuaga kiongozi...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Ulaya kukubali kimya kimya kulipa kupita Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanakumbi. 🇪🇺🇮🇷 Mataifa ya Ulaya yanaonekana kukubali kimya kimya ada za Iran kwenye usafiri wa Mlango wa Hormuz kama jambo lisiloepukika. Sasa wanalenga tu kuhakikisha ada hizo zinatumika sawa kwa vyombo vyote vya maji badala ya kupigana na kanuni yenyewe. Wiki 2 zilizopita Meloni alikuwa...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran imesema itafunga tena mlango wa Hormuz ikiwa vurugu za Marekani zitaendelea na wapo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Wanaukumbi. BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI YADOKEZA KUFUNGA TENA NJIA YA HORMUZ IKIENDELEA KUONGEZEKA: "Ikiwa ongezeko la hivi karibuni la hali litaendelea, itakuwa vigumu kuweka NJIA YA HORMUZ Wazi Chini ya makubaliano yaliyosainiwa na Marekani, Iran ndiyo nchi pekee inayohusika na Kusimamia...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mashariki ya Kati: Marekani yaishambulia upya Iran, na Iran yajibu mapigo!

    Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita (ceasefire) wa muda kuanzia mwezi Aprili, lakini mambo yamebadilika ghafla. Usiku huu, mambo haya...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

    Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga... CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Qatar kurudisha $12 bilioni za Iran vikwazo vya mafuta vinaondolewa, ada za Hormuz zinarejeshwa. Makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo

    Wanaukumbi. Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha. 🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Meli 1,500 na mabaharia 20,000 wamekwama Hormuz kutokana na vita vya Iran, Trump amebakia kupiga kelele kwenye mitandao.

    Wanaukumbi. Shirika la kimataifa la masuala ya bahari la Umoja wa Mataifa (IMO) limesema takribani meli 1,500 pamoja na mabaharia zaidi ya 20,000 wamekwama katika eneo la Ghuba ya Uajemi kutokana na vikwazo vya Iran kwenye njia ya Mlango wa Hormuz. Katibu Mkuu wa IMO, Arsenio Dominguez...
  13. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Trump abadilisha jina la Hormuz na kuwa Strait of Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha ramani kwenye mtandao wake wa kijamii Truth Social ikionyesha Strait of Hormuz ikiwa imepewa jina la “Strait of Trump,” badala ya jina lake rasmi la Strait of Hormuz, maarufu Mlango Bahari wa Hormuz. Mlango huo wa bahari ni mojawapo ya njia muhimu zaidi...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

    Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!! Magaidi wa...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kupiga boti zinazotega mabomu huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika Mlango-bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameliamuru Jeshi la Majini "kupiga na kuua" boti zozote za Iran zinazotega mabomu katika Mlango-bahari wa Hormuz. Mazungumzaji mkuu wa Iran amesema kuwa Tehran imepokea mapato yake ya kwanza kutokana na ushuru ilioweka kwa meli zinazopita katika mlango-bahari...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Meli 3 zimeshambuliwa kwa kutaka kupita mlango wa Hormuz

    Meli tatu zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa IRGCC ikiwa mlango wa Hormuz ukiendelea kufungwa. Meli iliyokuwa na bendera ya Panama ikitokea kwenye bandari ya Saudi Arabia na kuelekea Singapore imeshambuliwa na imepata uharibifu. Meli ya pili ya kigiriki nayo imeshambuliwa siku ya leo baada...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Graham Aitaka Udhibiti Kamili wa Hormuz, Akataa Mkataba Wowote na Iran

    Seneta Lindsey Graham alisifu vizuizi hivyo kwa kuidhoofisha uchumi wa Iran na akataja mashambulizi ya IRGC dhidi ya meli kuwa ishara ya kukata tamaa. Alimtaka Rais Trump achukue udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz na kuendeleza vizuizi hivyo, huku akikataa mkataba wowote unaoruhusu Iran...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania IRAN: Kuna hali ya misuguano ya kimamlaka kati ya Abbas Araghchi na viongozi wa IRGC kuhusu udhibiti wa Mlango wa Hormuz

    Siku ya Ijumaa, Aprili 17, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, alitangaza kupitia mtandao wa X kuwa Mlango wa Hormuz uko "wazi kabisa" kwa meli zote za kibiashara. Alidai uamuzi huo umefikiwa kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano huko Lebanon. Ndani ya saa 24, viongozi wa IRGC...
Back
Top Bottom