hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Hongera Rais Samia kuipaisha nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
  2. Hongera Yanga na Hongera Eng. Hersi Ila leo umezingua

    Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana. Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga? Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
  3. Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

    Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
  4. D

    Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  5. K

    Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  6. Hongera Ally Hapi kwenda kata ya Loya- uyui, lakini wahuni walikuzidi mbinu!

    Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana! Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi! Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati...
  7. Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  8. Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  9. R

    Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  10. Hongera sana DC wa Muheza, TRA wanajifanya miungu watu

    Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka CCM yaani DC wa Muheza. Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi. Amekemea uongozi wa TrRA wilaya Kwa jinsi wanayovyofanya maonevu na kuwadharau wateja na jeuri juu. Naomba tumsikilize na tujaribu kuwajadili...
  11. M

    Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

    Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule. Tatizo...
  12. G

    Hongera PPRA kwa mfumo wa NEST

    Huu mfumo ni kiboko na mzuri sana ni shirikishi, wa kisasa, usalama nk. Tangu nimeanza kuutumia napata vifaa na huduma kwa nusu ya bei ya awali. Huu mfumo ukitumia vizuri naamini kabisa matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%. PIA SOMA - PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya...
  13. M

    Hongera sana Kamanda Muliro kwa kuwashikisha adabu Jacob na Malisa

    Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua ulimwengu huu ni nini, maana hakuna jambo lenye mwanzo lisilo na mwisho, yeye amechagua kuishi kwa...
  14. Hongera Kamanda Paul L Fulano kuimarisha chama Sengerema. 2025 lazima umg'oe Tabasamu na utajiri wake

  15. G

    Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

    Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k. Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
  16. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  17. L

    Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  18. N

    Yanga inahitaji hongera..

    Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu. Pacome Aucho Yao yap Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa Chama Ngoma Mohamed...
  19. Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri. Chumvi kapata chombo ya ukweli. --- NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje...
  20. B

    Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

    19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES. https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…