hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

    Habari Wakuu! Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea. Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke. Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Hongera sana Fr. Dk. Charles Kitima kwa kutoa elimu ya Uraia kwa waumini kuelekea uchaguzi

    Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo. Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwakani, Elimu hii inapaswa kutolewa na viongozi wote wa Dini...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hongera kaka Lugumi…

    Huyu kaka ni mtu mpole mcha mungu na mtu wa watu hana makuu hana baya na mtu, mtu wa tabasamu lisiloisha tena kutoka moyoni hana chembe ya unafiki na Mungu kambariki hekima kamwongezea na vingine
  5. JamiiForums Tanzania Hongera sana Dr. Rose Muhando

    Comment ziwe fupi fupi! 😃
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Afande Muliro

    Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi. Hongera tena.
  7. JamiiForums Tanzania Benki kuu kununua madini, kama ni kweli asee hongera sana kufanya hivyo

    Chekini wenyewe
  8. JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Mwabukusi, John Mrema na John Heche kwa kutojihusisha na maandamano yasiyokuwa na msingi, na yenye nia ovu

    Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi. Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Collins Obinna Chibueze, Prince of Country Music.

    Nikipewa nafasi nitaje wanamuziki wangu bora kwenye muziki wa Country basi sitoweza kumuacha John Denver na nyimbo zake bora za “Take Me Home, Country Roads,” pamoja na “Thank God I’m a Country Boy”. Carrie Underwood, Keith Urban mpiga gitaa bora sana, Brad Paisley, Chris LeDoux, Webb Pierce...
  13. JamiiForums Tanzania TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

    Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU. Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa. Magufuli...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa wanawake wote

    Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media. Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya. Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda 😀

    Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏 INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Drive show nzuri kwa sasa: Hongera sana Salim Kikeke, naona naona umefanya proper replacements ya Gadna

    Salaam wakuu; Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji. Jamaa naona ana bonge moja la idea, Kweli aliyekuzidi ki exposure amekuzidi tu. Baadhi ya vijana, wajifunze sana kwa salim kikeke...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera kwenu TFF kwa kutuletea electronic substitution board, Sasa leteni na poda

    Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira ulipotengwa,(referees vanishing spray) Rwanda wao walianza kitambo tu, nasisi tununue poda.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

    Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo. Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…