Homa Bay County is a county in the former Nyanza Province of Kenya. Its capital and largest town is Homa Bay. The county has a population of 1,131,950 (2019 census) and an area of 3,154.7 km2. Lake Victoria is a major source of livelihood for Homa Bay County. It has 40 wards, each represented by an MCA to the assembly in Homa Bay town as its headquarters.
Homa Bay County has eight sub counties just like the constituencies.
Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi.
Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini.
Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi.
Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini.
Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii tutaongelea kuhusu homa ya ini...
Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ??
Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
Wanabodi,
Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA.
Shuhudia hizi Testimonials....
https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ
kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, kuwa wahitimu wa Chuo Kikuu, wakasome VETA, imepokelewa kwa hisia tofauti, zenye sintofahamu...
Wakuu habari zenu!
Nimechoka sana; nimekuwa nikiugua homa na kikohozi tangu Alhamisi, hivyo sikuweza kupita kwenye vijiwe vyangu. Leo na jana nimepata simu nyingi kuulizia kama nitafika kazini kesho. Naomba unisaidie pesa kidogo kwa ajili ya kujitibia, maana naumwa mimi na wanangu pia...
Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii.
Je...
Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na ugonjwa huo ni watoto chini ya umri miaka 10.
Soma Pia: Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox)...
Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa ushirikiano tusije kuingia kwenye mambo ya lockdowns tena.
Soma Pia: Homa ya nyani (Monkeypox)...
Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani.
Kulingana na ripoti ya WHO iliyotolewa sanjari na Mkutano wa Kilele wa Ugonjwa wa homa ya Ini utakaofanyika nchini Ureno wiki hii...
Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha.
Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
The El Nino weather pattern has created ideal conditions for mosquitos to breed and transmit dengue fever. The viral infection can cause fever, nausea, vomiting, fatigue and body aches.
Peru declared a health emergency in most parts of the country on Monday after a heat wave and heavy rains led...
Habarini wana jamvii
Leo nimekumbuka hiki kisa tulichopitia na jamaa zangu miaka ya nyuma kidogo mkoani Tabora wenyewe wa kuita mboka manyema aisee ilikuwa hatari.
Tulieenda tabora kuna mishe tulieenda kufanya kwa kipindi kile tulikuwa watu wa tatu tulifika tabora salaam kabisa kwa kuwa...
Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS?
Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.