holela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraza la Famasi nchini latoa tahadhari juu ya matumizi holela ya dawa za macho kutibu 'red eyes'

    Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
  2. Waziri Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta na kusimamisha matumizi ya Kituo cha mafuta cha Barrel cha Mikocheni

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
  3. Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  4. Walinzi holela (jadi) Ni hatari kiusalama

    1. Ndugu zetu wafugaji wamejipambanua kwa kazi za ULINZI, USUSI na kuuza dawa asili Sasa kuwaajiri hawa rafiki zetu bila mkataba Wala.mafunzo Ni mtihani na hatari Kwa usalama wako. Anaweza kukutaka kichwa bila kuuliza yeyote. 2. Zaidi, wapo wanaojihusisha mapenzi ya Jinsia moja bila kinga wala...
  5. Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  6. Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani...
  7. M

    Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  8. Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  9. K

    TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

    TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar. Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na...
  10. Serikali imeshindwa kuzuia upandishaji nauli holela wakati wa sikukuu?

    Imekuwa ni kawaida kuona taarifa za ongezeko la nauli za usafiri hasa mabasi yanayosafiri mikoani, lakini Serikali mara zote imekuwa ikitoa matamko kadhaa lakini kiuhalisia hakuna mafanikio kivitendo. Mfano ukienda Kituo cha Magufuli vilio vya nauli kupanda vipi tena kwa wingi, ninachojiuliza...
  11. Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

    Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
  12. B

    Mauaji holela watuhumiwa wakiwa ni Polisi, tusisitize Uchunguzi

    Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa. Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi. Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo: Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi...
  13. P

    SoC02 Unywaji holela wa dawa bila kupewa maelekezo ya Daktari

    UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
  14. F

    SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  15. B

    DC Mwenda apiga marufuku upandishaji holela wa nyama, aagiza wauzaji kuuza kwa bei elekezi ya serikali- Iramba

    DC MWENDA APIGA MARUFUKU UPANDISHAJI HOLELA WA NYAMA, AAGIZA WAUZAJI KUUZA KWA BEI ELEKEZI YA SERIKALI- IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaagiza wamiliki wa mabucha, wachinjaji na wauzaji wa nyama kuacha mara moja tabia ya kupandisha bei ya kitoweo hicho...
  16. Waziri Bashe aahidi suluhu ya kudumu ya upandaji holela wa bei za mbolea

    Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo...
  17. N

    DC Kinondoni: Fuatilia ujenzi huu holela!

    Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe...
  18. Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  19. E

    Kuweka anwani za makazi kwenye makazi holela ni kupoteza fedha

    Ukienda jijini Mwanza ukipita kwenye makazi holela unakuta vibao vimewekwa eti anwani za makazi, huku ni kupoteza pesa yetu bure. Unapita kwenye njia zilizochangamana mara umeibuka junction moja kimewekwa kibao cha anwani ya makazi. Ushauri Anzeni kwa kutuwekea mitaa inayoeleweka tumieni hizo...
  20. Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…