Mpina anapotaka kutoa hoja zake/michango Bungeni huwa anajipanga sana na anautoa kwa ufasaha na kwa mtiririko ambao hata msilizaji utaupenda. Juzi alipochangia hoja kwenye Wizara ya Viwanda akisema kuwa kama tumesamehe kodi kwenye eneo fulani basi ni budi mwaka unaofuata ukaja na na majibu...