hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Anthony Mtaka awatoa hofu wananchi wa mkoa wa Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  6. JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Sio Tamaa ya Madaraka, Bali Hofu ya Kulipa Gharama za Uovu

    Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana. Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  9. JamiiForums Tanzania Hofu ni kupugukiwa/Kukosa imani & amani kunakopelekea MOYO kupata hisia za wasiwasi

    HOFU ! Hofu ni kupugukiwa/KUKOSA IMANI & AMANI kunakopelekea MOYO kupata hisia za wasiwasi,mashaka,woga ,kuhisi hatari/changamoto/tatizo kubwa iliyoko mbele yako kuliko nguvu zako,uwezo wako. ROHO YA KUKIRI KUSHINDWA/ UDHAIFU/MAUTI Ni kukiri MOYONI kwamba hatari/changamoto/tatizo iliyopo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi nifanyeje ili kuondokana na hofu ya kifo,hofu ya kushindwa na hofu ya umasikini?

    Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma yaani kuna mtu unamshauri nenda kwenye high level of health facility lakini anakulilia wewe umsaidie...
  11. JamiiForums Tanzania Hofu imenitanda, Nimeona mtu anachinjwa shingo

    Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule...
  12. JamiiForums Tanzania Hofu ya babu yangu

    Kumbukizi ya picha.. Reflection ya wakati tulionao.. Tafakuri ya yanayotokea Tanganyika.. Simanzi ya yajayo🤔🥺
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mlioachwa , msiwe na hofu , CCM haijawahi kumtupa mtu .

    Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo. There's so many opportunities in Ccm. Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
  15. JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Makonda aliwahi kusema wafanyabiashara wengi wanaichangia CCM sababu ya hofu

    Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa. ''Wafanyabiashara wengi wanakichangia Chama cha Mapinduzi sio kwasababu wanakipenda sana ni kwa sababu ya hofu, Na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  18. JamiiForums Tanzania Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  19. JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…