hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Nawalilia enyi mamlaka muingilie kati hizi shughuli za kutunzana uswahilini zimejaa mashoga wengi na wanakuwa paraded makusudi na wadada waliomo mule

    Yani unakuta kijana wa kiume kweli anawashinda wadada waalikwa kutingisha makebo😬
  4. JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  7. JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawavai bra (sidiria) hasa wale wenye manyonyo makubwa

    Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  12. JamiiForums Tanzania Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

    Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako. Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
  13. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  14. JamiiForums Tanzania Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

    Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu. Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano) Hayae twende sawa; Jimmy: Mambo vipi mrembo Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa Jimmy: Niko poa tu...
  15. JamiiForums Tanzania Jf team hizi project lini zitamilika?

    Hizi project hapa mbona mmeikalia kimya.
  16. JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona mchumba wako ana sifa hizi oa na weka ndani

    Shikamoni wote humu natumai mu wazima wa afya. Kama hujaoa na una mchumba mwenye sifa hizi weka ndani 1.Mwenye heshima na adabu – Heshima ndiyo inabeba maana halisi ya wife material. Siyo yule anakudharau kwa kila unachofanya 2. Mwaminifu na mkweli – Ni mwadilifu katika mapenzi na maneno. Huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo Kazi zinazowafanya watu wasiwe na furaha zaidi nchini Marekani

    Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna watu wapo kimakosa katika zama hizi walipaswa wawe stone age

    Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya namba 3,6,9 na kwa nini ukiweza kujua hizi namba wewe umekuwa universe?

    Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu. Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu. mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana. Mfano 3 kwa mwengine ikawa B. Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu . Mwanasayansi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…