hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Tuliopitia nyakati hizi tukutane tukumbuke changamoto tulizopitia

    Nakumbuka siku hizo za kwanza nikifundishwa haya mambo pale LearnIT kwa wahindi Greens street
  4. JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kumlea au unamleaje mwanao wa kike katika nyakati hizi za ki-porno porno.

    Utupu umekuwa glorified Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu. Akiingia kwenye simu yako anaona ni jinsi gani mwanamke aliekaa kimalaya malaya anavyokuwa entitled katika jamii zaidi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

    1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅ 2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅ 3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅ 4. KMC (Familia) ✅✅ 5. Prisons (silent ocean) ✅✅ 6. Coastal (GSM) ✅✅ 7. Mashujaa (GSM) ✅✅ 8. Singida (Familia) ✅✅ 9. Namungo(GSM)✅✅ Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga...
  6. JamiiForums Tanzania Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

    Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%? Serious BOT? Fanikiwa microfinance 42% Magere credit 42% Platinum...
  7. JamiiForums Tanzania Je hizi lipstick zinazotengenezwa kwa kutumia hawa wadudu ni salama?

    Hii clip inaonyesha namna lipstick inavyotengenezwa je ina usalama? https://www.facebook.com/reel/1143524623889538
  8. JamiiForums Tanzania Kama una hizi dalili fahamu tu kuwa umelaaniwa

    Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa. Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse. Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula this is curse . Ukipata hela haukumbuki kufanya maendeleo this is curse . Una miaka mingi Ila akili...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hizi komenti za wadau lazima ukimbie 🤣

    Wakuu ile thread ya Spana & VAR Movement ilipotelea wapi humu?? Embu check hii komenti ya mwamba kwenye hizo images 😂😂🙌
  10. JamiiForums Tanzania Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  11. JamiiForums Tanzania JAMANI HIZI AJIRA ZA TRA NA WALIOSOMA BAED ANAWEZA KUOMBA?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza alie liona tangazo anakaribishwa alete mawazo
  12. JamiiForums Tanzania Zijue Mbinu Hizi za Kuwa Tajiri("Milionea")

    Watu wengi wana ndoto za kuwa matajiri. Wanafanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili wawe matajiri. Hata hivyo ni wachache wanaofanikiwa kuupata utajiri. Leo nakutajia baadhi ya mbinu muhimu za kupata utajiri au kuwa milionea/bilionea – sizungumzii utajiri unaopatikana kwa bahati au kwa kurithi...
  13. JamiiForums Tanzania Waliowahi hizi fursa miaka ya 2000 hadi 2010 walijetengenezea pesa sana

    1: Kutoa virus kwenye computer 2: Usambazaji wa Vifaa vya solar 3: Internet cafes 4: Uzaaji wa vocha jumla 5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaofanya kazi hizi office acheni kuringa.

    Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau. 1.Crdb branch zote nchini 2.Nssf hasa kinondoni branch 3.psssf nchi nzima 4.Ilala city council 5.Dodoma city council 6.Exim bank 7.USAID...
  15. JamiiForums Tanzania Fuata Hatua Hizi 7 Rahisi Kuwa Huru Kiuchumi

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe unaendelea vizuri. (Na endapo kuna mambo hayaendi, komaa tu. Haya ni mapito. Punde msimu utageuza, na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

    Yas ni balaa na nusu
  18. JamiiForums Tanzania Assets za asili za Mwanamke na Mwanaume. Hizi ukizijua zikikusaidia pakubwa

    ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa ambayo inaweza kutumika kuleta faida kiuchumi. Siku hizi Istilahi hiyo "Assets" hatimiliki tuu kiuchumi...
  19. JamiiForums Tanzania Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

    Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo? 2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…