hiv

The human immunodeficiency viruses (HIV) are two species of Lentivirus (a subgroup of retrovirus) that infect humans. Over time, they cause acquired immunodeficiency syndrome (AIDS), a condition in which progressive failure of the immune system allows life-threatening opportunistic infections and cancers to thrive. Without treatment, average survival time after infection with HIV is estimated to be 9 to 11 years, depending on the HIV subtype. In most cases, HIV is a sexually transmitted infection and occurs by contact with or transfer of blood, pre-ejaculate, semen, and vaginal fluids. Research has shown (for both same-sex and opposite-sex couples) that HIV is untransmittable through condomless sexual intercourse if the HIV-positive partner has a consistently undetectable viral load. Non-sexual transmission can occur from an infected mother to her infant during pregnancy, during childbirth by exposure to her blood or vaginal fluid, and through breast milk. Within these bodily fluids, HIV is present as both free virus particles and virus within infected immune cells.
HIV infects vital cells in the human immune system, such as helper T cells (specifically CD4+ T cells), macrophages, and dendritic cells. HIV infection leads to low levels of CD4+ T cells through a number of mechanisms, including pyroptosis of abortively infected T cells, apoptosis of uninfected bystander cells, direct viral killing of infected cells, and killing of infected CD4+ T cells by CD8+ cytotoxic lymphocytes that recognize infected cells. When CD4+ T cell numbers decline below a critical level, cell-mediated immunity is lost, and the body becomes progressively more susceptible to opportunistic infections, leading to the development of AIDS.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mume, awe HIV+

    Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili. Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa. Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha. Karibu PM.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

    Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada. Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine. Hebu just imagine mtu kama Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Kocha Sven Vandebroek aliondoka Simba SC Mwenyewe au Alifukuzwa?

    Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
  5. JamiiForums Tanzania Kuambukiza HIV/Ukimwi kwa makusudi jela kuanzia miaka 5-10, kumtaja mwenye HIV jela hadi mwaka mmoja

    Leo nimepitia sheria ya Ukimwi/HIV iliyopitishwa mwaka 2008 baada ya kusikia mwamba wa Mara huko kafungwa miaka 7 kwa kusambaza Ukimwi makusudi. Kifungu cha 47 cha sheria hiyo kinasema mtu yeyote kwa makusudi akasambaza virusi vya ukimwi kwa mtu mwingine atakuwa ametenda kosa na akithibitika...
  6. JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

    Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano. Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie. Binti...
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana kuwapa Ukimwi watu kwa makusudi

  8. JamiiForums Tanzania Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

    Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50. Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu. Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

    Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Waukraine watanyanduana leo usiku?

    Hi! Naomba kuuliza wakuu, Kuna Waukraine waishio Ukraine watanyanduana leo usiku? Maana sio kwa mabomu haya ya Putin.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi BoT inahusika kutapeli watanzania kupitia hizi pyramid schemes?

    Pyramid scheme iliyovuma kuliko zote ilikuwa DECI. Watu tulifahamu kuwa baada ya ile watu watajifunza na mamlaka zitajifunza na kitu kile hakitakuja tokea tena. Lakini kumbe ni kama DECI ilifungua mlango wa soko la upatu. Zimepita pyramids schemes nyingi sana hapa kati. Kila moja watu wakilia...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi au mke mwenye VVU

    Habari zenu waungwana, Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja. Ni mwajiriwa pia na biashara zangu Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
  14. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto nilizopitia katika kilimo

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
  15. JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na masuali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

    Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi ya HIV rapid home test kit yamekatazwa au?

    Matumizi ya HIV Rapid Home Test Kit Yamekatazwa Au? ◇ Maduka mengi ya dawa hawauzi hizi Kit. ◇ Yale maduka machache yanayouza unakuta wanauza kimachalemachale kama vile wanavyofanya wauza bangi au gongo, ukiulizia ni lazma huyo muuzaji aangalie kulia na kushoto mithili ya mtu anayetaka kuvuka...
  18. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  19. JamiiForums Tanzania Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    Always people are there to hear the negative stuffs. 😁KID
  20. JamiiForums Tanzania Nimenusurika kuambukizwa HIV usiku wa leo, nimekoma

    Habari za humu wakuu Nilijieka kwa mdada fulan hivi ila hatukudumu Sana mahusiano yakapotea tu ghafla, japo haikuwa kuachana rasmi. (Mimi ni mme na baba wa familia) Sasa wiki mbili zimepita wife kasafiri kidogo. Nikiwa kwenye mizunguko yangu siku ya J3 na kutana na yule mrembo ambae tuliacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…