hitilafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea hitilafu au uvamizi wa cable za mawasiliano(internet) baharini tuna backup kama nchi?

    Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa. Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo. TANESCO wanasema Juhudi za...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ISS ikipata hitilafu angani ?

    1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Bomba kubwa la Maji Kibanda cha Mkaa, Lapata Hitilafu baada ya mvua kubwa

    Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu. Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hitilafu ya Umeme yawakosesha Maji wakazi wa Dar na Pwani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

    Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire". Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA 18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
  12. HIMARS

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala

    Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana. Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa. Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe...
Back
Top Bottom