historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bondia Mandonga ni Kanyaboya wa kisasa, historia zao zinafurahisha, wazee wa mikwara ya hatari

    MANDONGA Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022. MANDONGA amenikumbusha stori ya mtu anaitwa Felix KANYABOYA ambaye ndiyo huyo aliyesababisha neno...
  2. JamiiForums Tanzania Shida ya umeme mkoa wa Pwani kubaki historia. Bil. 130/- zatengwa kumaliza kabisa tatizo

    Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Mradi huo unaitwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Pamoja na msistizo mkubwa katika masomo ya Sayansi na VETA, Wizara Ya Elimu msisahau Historia

    Na Malenja jr Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha nishati katika maeneo ya migodi, Je kubaki historia?

    Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva

    Wakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga. P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva. Kwa wasiofahamu wasanii wote...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  8. JamiiForums Tanzania Dondoo katika Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Fuatililia.
  9. JamiiForums Tanzania Historia kidogo ya EAC

    Kutoka kushoto: Milton Obote(Uganda), Julius Kambarage Nyerere(Tanzania) na Jomo Kenyatta(Kenya) Tarehe 6 Juni,1967 huko Kampala, Uganda, viongozi hawa wa Uganda, Tanzania na Kenya walitia saini Mkataba wa kuunda Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ushirikiano (EAC) ulioanza kutumika tarehe 1 Desemba...
  10. JamiiForums Tanzania Somo la historia liwe linatumika na kusomwa vizuri. Hakuna kukariri hapa

    Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia. Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
  11. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Urusi na Ukraine, kinachoonekana sio ushabiki bali ni historia

    Kinachoonekana baina ya Pro Russia dhidi ya Pro NATO/ USA/ Ukraine sio ushabiki Bali ni historia. Histori inatuambia kulikua na Kambi tatu. 1) West ikiongizwa na USA UK na western wengine. 2) East ikiongizwa na USSR ambayo ndo Urusi East German na wengine. 3) NAM, kwa Kiswahili nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  13. JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuja kuifuta CCM na kumbukumbu zake zibaki katika vitabu vya historia tu

    Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye Utajiri wa kila kitu ? Hiki Chama ambacho kina :- 1. Mafisadi 2. Kina watu wanajiita wenye Chama 3...
  16. JamiiForums Tanzania Historia chungu ya maisha ya taifa la Ukraine, Mapinduzi ya utu (Maidan Revolution) hadi uvamizi wa 2022

    Tangu kupata uhuru wake kutoka USSR mwaka 1991 Ukraine lilikuwa ni taifa linalopata viongozi wanaopokezana mitazamo na mielekeo wakipokezana kufungamana kati ya West (EU&US) au Russia kwa vipindi tofauti lakini kadri muda ulivyosonga mbele raia wengi wa taifa hilo walizidi kuwa na muelekeo wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    ''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita. Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  19. JamiiForums Tanzania Abbas Max na historia ya TANU Iringa, 1955

    ILIPOKUWA NYUMBA YA ABBAS MAX MUASISI WA TANU IRINGA Hapa ni Iringa sehemu nayojulikana kama Makorongoni. Mtaa huu ni Mtaa wa Pangani. Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Abbas Max (1918 - 1993) muasisi wa TANU. Nimepata kuandika historia ya Abbas Max na niliandika maneno haya, ''Abbas Max...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ni mwalimu: Augustino Mrema alivyowika na Kashfa ya Loliondo uchaguzi mkuu wa mwaka 1995

    HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995. Leo 10:15 hrs 12/06/2022 Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…